mkuu, kwa kweli hakuna chuo kikuu cha waislam hata kimoja hapa tz, kumbuka kuwa muslim university ya moro ni rais mkapa alitaka kuzima ngebe na kelele zao ati wako majinolaized kwenye elimu akanyanganya mali ya wavujajasho wa tz akawapa watu ambao hata hawajui thamani yake, matokeo yake hakuna kiachofanyika.
Nani kakuambia MUM haipo? By the way nenda michuzi utaona watu ambao wamegraduate mwezi uliopita acheni roho zenu mbaya eti wavuja jasho waislamu wanafanya nini? Mnazungumza upupu mtupu eti wavuja jasho kama waislamu hawafanyi kazi Tanzania.