Uteuzi wa Bashe kuongoza kamati Maalum ya CCM ni Ushindi Mkubwa wa Mafisad ,Washerekea usiku kucha

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Hawa CCM na UVCCM wanashangaza sana,huyu Bashe si ndo Makamba na Chilagati walimtangaza sio Raia, si ndo aliyeshinda kura za maoni jimbo la Nzega CCM wakasema si Raia, Si ndo huyu mwenyekiti wa CCM Taifa Kikwete aliwaambia wajumbe wa NEC na kamati kuu 17 August 2010 kuwa hawezi akamsamehe Bashe kwa jinsi alivyovuruga Mkutano Mkuu wa UVCCM Iringa.

Si ndo huyu Husein Bashe aliyeshinda ujumbe wa NEC 2007 Mhe samuel Sita na Rostam Aziz wakakataa kutangaza idadi ya kura alizopata kwa madai kuwa jina lake limepotea, si ndo huyu makamba alitutangazia kuwa amefungiwa mpaka mbinguni jioni ya tarehee 22 August makamba alinukuliwa akiongea na TBC "Tumemfungia Bashe kugombea ubunge kwa sababu sio raia na biblia inasema ukifungiwa duniani unafungiwa mpaka mbinguni" mwisho wa kunukuu maneno ya makamba, si ndo huyu Ridhwan Kikwete na Beno Malisa waliwahi kusambaza sms nchi nzima kwa viongozi wa CCM Wakimtukana na kumdhalilisha kuwa ni Msomali haramia (pirates)

Naomba mwenye majibu anisahidie, Ni lini CCM Ilimtangaza Bashe ni Raia alali wa Tanzania ? Ni lini CCM Ilimuomba radhi Husei Bashe kwa kumdhalilisha kuwa sio Raia? Ni lini makamba alitutangazia kumfungulia kifungo duniani na mbinguni? Ni lini Jk alimsamehee kwa kuvuruga Mkutano wa CCM Iringa? Ni lini Ridhwan alitutangazia kuwa Bashe ni Mtu safi (Clean) Ni lini Chilagati alitutangazia kumrudishia Bashe uanachama wa CCM? Ni lini Sita na Rostam watatutangazia idadi ya Kura za NEC alizopata Bashe? Ni lini Kikwete na tume ya uchaguzi watatutangazia kuwa Bashe ndo mbunge mteule wa Nzega? Naomba mwenye majibu haya hatusaidie

Angalizo: Bashe sisi vijana tunaimani na wewe ,karama ya uongozi ,uwezo wa kujenga hoja na utiifu wako ndani ya chama sio wa mashaka hata kidogo, matendo na dhuluma ulizofanyiwa na CCM ni ishara tosha kuwa wewe ni tishio kwa wafadhiina (Col Kikwete, Col Makamba, Captain Chilagati, Capt Mkuchika, Membe) na wengineo waliopo ndani ya CCM .

Jk katangaza kulivua CCM gamba sisi kwetu that is not a isue kinachoitajika CCM sio kujivua gamba kinachoitajika ni kutekeleza ahadi na ilani ya uchaghuzi 2015. Tunakutakia kila la kheri ila uwe makini isije ikawa ni Mtego wa kukumaliza
 
kashaahidiwa vitamu mwaka 2015, sasa nyie mnataka afanyaje? Bashe Ficha kombe mwanaharamu apite.
 
Wanataka kumpooza kwa kumpa UDC lakini RA anadai DOGO ni muhimu sana pale NEW HABARI CORPORATION anamsaidia ktk biashara zake za fitna za siasa kupitia magazeti MTANZANIA, MTANZANIA JUMAPILI na RAI, Dogo ni CEO pale New Habari
 
Hawa CCM na UVCCM wanashangaza sana,huyu Bashe si ndo Makamba na Chilagati walimtangaza sio Raia, si ndo aliyeshinda kura za maoni jimbo la Nzega CCM wakasema si Raia, Si ndo huyu mwenyekiti wa CCM Taifa Kikwete aliwaambia wajumbe wa NEC na kamati kuu 17 August 2010 kuwa hawezi akamsamehe Bashe kwa jinsi alivyovuruga Mkutano Mkuu wa UVCCM Iringa, Si ndo huyu Husein Bashe aliyeshinda ujumbe wa NEC 2007 Mhe samuel Sita na Rostam Aziz wakakataa kutangaza idadi ya kura alizopata kwa madai kuwa jina lake limepotea, si ndo huyu makamba alitutangazia kuwa amefungiwa mpaka mbinguni jioni ya tarehee 22 August makamba alinukuliwa akiongea na TBC "Tumemfungia Bashe kugombea ubunge kwa sababu sio raia na biblia inasema ukifungiwa duniani unafungiwa mpaka mbinguni" mwisho wa kunukuu maneno ya makamba, si ndo huyu Ridhwan Kikwete na Beno Malisa waliwahi kusambaza sms nchi nzima kwa viongozi wa CCM Wakimtukana na kumdhalilisha kuwa ni Msomali haramia (pirates)

Naomba mwenye majibu anisahidie ,Ni lini CCM Ilimtangaza Bashe ni Raia alali wa Tanzania ?, ni lini CCM Ilimuomba radhi Husei Bashe kwa kumdhalilisha kuwa sio Raia?, Ni lini makamba alitutangazia kumfungulia kifungo duniani na mbinguni?, ni lini Jk alimsamehee kwa kuvuruga Mkutano wa CCM Iringa,? Ni lini Ridhwan alitutangazia kuwa Bashe ni Mtu safi (Clean),?ni lini Chilagati alitutangazia kumrudishia Bashe uanachama wa CCM ? Ni lini Sita na Rostam watatutangazia idadi ya Kura za NEC alizopata Bashe ? Ni lini Kikwete na tume ya uchaguzi watatutangazia kuwa Bashe ndo mbunge mteule wa Nzega ?Naomba mwenye majibu haya hatusaidie

Angalizo. Bashe sisi vijana tunaimani na wewe ,karama ya uongozi ,uwezo wa kujenga hoja na utiifu wako ndani ya chama sio wa mashaka hata kidogo ,matendo na dhuluma ulizofanyiwa na CCM ni ishara tosha kuwa wewe ni tishio kwa wafadhiina (Col Kikwete ,Col Makamba , Captain Chilagati , Capt Mkuchika,Membe) na wengineo waliopo ndani ya CCM .

Jk katangaza kulivua CCM gamba sisi kwetu that is not a isue kinachoitajika CCM sio kujivua gamba kinachoitajika ni kutekeleza ahadi na ilani ya uchaghuzi 2015.uteuzi wako japokuwa una makengeza wengi wanauchukulia kama ni moja ya mikakati ya kukumaliza kisiasa na wengine wanauchukulia kama ni mikakati ya kusafisha njia kwa lowasa kuchukua u-Rais 2015 kama kweli ndivyo ilivyo utakuwa umetuangusha sisi vijana sina mashaka na tetesi hizo kwa kuwa umeajiriwa na kampuni ya kifisadi Habari Corporation au umehaidiwa U-DC .Tunakutakia kila la kheri ila uwe makini isije ikawa ni Mtego wa kukumaliza.
 
SIMJUI MMILIKI WA DOWANS, SIJUI KWA NINI TANZANIA NI MASKINI. BY JAKAYA KIKWETE.

mi sijiui kwanini ni mtanzania@@@
 
Bashe ni jamaa yake Rostam. Na Rostam ndiye anayemiliki njia zote kuu za uhai wa serikali ya JK....akili za mbayuwayu changanya na za kwako.
 
Sasa Mafisadi CCM wanaendesha operation ya kumjenga BASHE, kazi kwenu vijana
 
Mungu akishaamua kukuacha hata ufanye nini ni kazi bure tu. CCM imeshafika mwisho na hizi ni stages towards final days zao!!!!!!!
 
Kila aliyetolewa kwa mizengwe au kwa manufaa fulani, mkwere atamzawadia/anamzawadia ulaji mwingine ili chama chake ''kiendelee kuwa na umoja''. Nape, vuai, Bilal, Bashe, na wengine wanafuata
 
Mi hapa sichangii,maana penye lengo la ccm na rangi zake zote,sihusiki na sitausika kamwe! Ninaloona hapa ni sawa na kwamba ccm inawaandaa watu ili mgonjwa ccm afie mikononi mwao alafu wahusishwe na kifo cha mgonjwa ccm. Bashe ni kama ameachiwa mgonjwa akiwa ICU. Atajua mwenyewe kwa kushiriki mauaji ya ccm.
 
Huyu Bashe si ndio mkurugenzi mtendaji wa ofisi za gazeti la Mtanzania kwa Rostam? Kweli RA ana nguvu CCM
 
Back
Top Bottom