Uteuzi wa baraza la mawaziri ; kuna watu wanaendeleza kuuponda kwa misingi ya ukabila/d*ni

Status
Not open for further replies.

Makame

JF-Expert Member
Jan 3, 2008
512
60
Jambo linalonichefua kabisa ni kwamba Rais anapofanya UTEUZI, utaona wachangiaji wanasema amefanya ud*ni.

Kwa Heshima kubwa, nawasihi wachangiaji walilete Baraza la Mawaziri na kuangalia wanao-share imani na Rais ni wangapi na endapo idadi yao inawafunika wasi - share imani na Rais.

Likishafanyika hilo, nitaomba tufikie kwenye conclusion; ili tuweze kufanya justification or otherwise ya hiyo hoja.

Tujadiliane
 
Lete mada zinazohusu sera za maendeleo ya taifa na jinsi ya kuimarisha uchumi

unless otherwise you are a gossiper
 
Ndugu
Tatizo si udini wa wachangiaji bali vigezo vya rais anavyotumia katika uteuzi wake. Siyo siri tena kuwa anapoletewa majina ya watu wa kuteuliwa anahoji ikiwa yameletwa ya dini moja.
Pia amejiwekea utaratibu wa ajabu kuhakikisha kila mkoa unapata angala waziri mmoja na ndiyo maana sasa baraza ni kubwa mno.
 
Hivi chenge ndio hana kesi tena?
Na je ile kesi yake ya kuua wapanda bodaboda faini ya laki 7 ndio itakayotumika katika kesi zote za namna hiyo?
 
Mtei and his co where are you?Mi nilisha waambieni zitto anaupeo wa hali ya juu.Na nukuu mzee kafilisika kimawazo.Mbona la mawaziri amekimbia?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom