Uteuzi wa baraza jipya la mawaziri

Apr 26, 2012
15
9
ndugu wana JF na Watanzania kwa ujumla wenu, tutegemee nini kwa baraza hili jipya la Mawaziri. Mimi ninaona ni Themos tu lilibadilishwa lakini chai ni ile ile. Mimi binasfi nilitegemea kuwa Wale wabunge machachari kama wa Ludewa angestahili kuwa Waziri kwani anatetea wananchi wa hali ya chini. Mimi bado sipati picha ya baraza hili Jipya
 
Back
Top Bottom