Uteuzi unaotia shaka - Ukanda na Ukabila mtupu!

Ila kweli kwa Tz yenye 50% Waislamu na 50% Wakristo..Msola ktk tume hii hakuona mtu anayefaa Mwislamu hata mmoja?

Is this fair and healthy to our country?
 
Wasio na data mmejaa JF ..Hapana shaka hizo asilimia 50/50 umezipata huko vijiweni unatuletea hapa nzimanzima bila hata ya kufikiri kidogo..

Unapima dini ya mtu kwa kuangalia jina?

Halafu, unadhani mambo ya kitaalam yanaenda kisiasasiasa? Kama unataka kuleta siasa kwenye fani za watu endeleeni, maana sidhani kama kuna mtu wa kuwanasua ktk kiza mlichomo..
 
"cynic" kwa level yako ya kufikiri na kutoa solution, hebu tupatie majina ya Tume yako ambayo ungeunda. Acha mawazo yaliopitwa na wakati.

Aunde tume kama nani? Huku si ndo kujenga ghorofa hewani?

Mh. waziri anatumia kanuni zinazomlinda kisheria kufanya teuzi. Muanzisha thread angekuwa na la maana iwapo angejaribu kwenda hatua moja mbele kwa kuonesha labda nini tume ifanye kuifanya iwe effective zaidi n.k.
 
Wasio na data mmejaa JF ..Hapana shaka hizo asilimia 50/50 umezipata huko vijiweni unatuletea hapa nzimanzima bila hata ya kufikiri kidogo..

Unapima dini ya mtu kwa kuangalia jina?

Halafu, unadhani mambo ya kitaalam yanaenda kisiasasiasa? Kama unataka kuleta siasa kwenye fani za watu endeleeni, maana sidhani kama kuna mtu wa kuwanasua ktk kiza mlichomo..

Ni kweli kuwa hakupatikana hata mmoja tu aliye na sifa aliye mwislamue ktk hawa wote? Mbona haujajibi swali langu ndugu?

Reality ya dini Tz is part of our lives..we cant not ignore it..iwe perspective ya vijueni or otherwise!

Ni utaalam gani unazungumzia hapo?

Kuna Watz wengi tu Waislamu pia wanaqualify....swala hapa ni fairness ktk uteuzi!

Mimi sikubaliani na hili la kuogopa kuzungumzia haya mambo...kama kuan wanaoqualify...then let them be given equal opportunity!

Umenielewa?
 
Swali lako ni la kimasikini..

Najua umasikini umetaradad kila mahali kuanzia ikulu (rais mkinga bakuli), mijini na vijijini, na mbaya zaidi ni umasikini wa akili..Laiti kama tungekuwa watu wenye akili pevu hata hapa JF tungeona aina ya mawazo na michango yenye kuridhisha.

Kwa kifupi utaalamu hauangalii dini, na dini si utaalam..Hivyo kuanza kuingiza mambo ya mwanatume hivi ..mwanatume vile..is simply defecto ..

Reality ya dini Tz is part of our lives..we cant not ignore it..iwe perspective ya vijueni or otherwise!

Hapa umeweka yaliyo moyoni mwako, waazi kabisa..

Nimeshakusoma kitambo..Wewe ni mbaguzi wa kidini na ndio maana umeanzia mbaaali ! Sasa huyo aliyeleta hii thread ndo ana hali mbaya zaidi, yaani ni mdini, mkanda na mkabila , yaani ni balaa juu ya balaa..

Ni utaalam gani unazungumzia hapo?

He he .. makubwa haya. Unataka nianze kukuelewesha neno 'utaalamu'?
Kaazi kweli kweli..No wonder you can't see your own myopia.

Kuna Watz wengi tu Waislamu pia wanaqualify....swala hapa ni fairness ktk uteuzi!

Mimi sikubaliani na hili la kuogopa kuzungumzia haya mambo...kama kuan wanaoqualify...then let them be given equal opportunity!

Yesss! Wapo wengi wana-qualify..wafanye mengine yaliyopo ktk taifa ili waTZ tunufaike..Is that so difficult? Au mpaka wawe ndani ya tume ya Msolla? Teh teh teh..:) :D

Umenielewa?

Yep, .. ya kuwa wewe ni mdini..:D
 
Last edited by a moderator:
Cynic yuko sahihi kuileta hii ishu. Mara ngapi sisi wamisheni tumeona udini katika teuzi mbali mbali? Kama vile tunavyotilia shaka pale ambapo muislamu anateua waislamu watupu basi nasi bila shaka ni lazima tutiliwe shaka tunapoteua wamisheni wenzetu peke yake! Hivi kweli kwenye tume yenye TOR zilizo general kama hii kweli tumekosa muislamu wakumweka humo? Nani katika tume atakaewakilisha constituency ya waislamu? Kama kweli tunataka kuwavuta wote basi ni lazima constituency (si za kisiasa bali za kijamii) ziwakilishwe. Kama vile tunavyotegemea wanawake watakua na uelewa zaidi wa kwa nini wengi wao hawamo katika fani hizi basi vile vile navyo naamini muislamu atakuwa na uelewa zaidi wa namna gani ya kuwavuta vijana wa kiislamu. Na wamisheni vile vile kwa wamisheni. Ni kwa kufanya hivi tu ndiyo tunaweza kuhakikisha kuwa sehemu kubwa ya jamii itaguswa. Bahati mbaya kwa jinsi ilivyo, sidhani kama pana nia dhabiti ya kupata mafanikio. Inawezekana nimekosea, lakini ndivyo ninavyoona.

Amandla.........

Fundi Mchundo:

Ukweli wa mambo uliopo sasa ni kuwa kuna vijana wengi tu wakristo na waislamu ambao ndio vizazi vya kwanza kupata elimu na madaraka katika familia zao.

Vijana wengi hawa kwa sababu hawana watu wa kuwasaidia au kutoa vi-Memo wanapata taabu kupata nafasi zinazolingana na elimu na vipaji vyao.

Legacy za ukoloni bado zinatusumbua. Kuna malalamiko yaliotokea kuwa kitengo fulani UDSM kimejaza wahaya. Kama wamejazana wahaya, basi uwezekano wa kuwepo waKristo wengi ni mkubwa. Lakini hiyo haitamaanisha kuwa kijana wa Kimakonde ambaye ni Mkristo atapata kazi pale kwa urahisi.

Katika kusoma kwangu nimesoma na waislamu na wakristo ambao ni watu wa mwanzo katika familia zao kupata digrii. Na wengi wao hawana ndugu wa kutoa viMemo na wanahangaika kupata kazi za maana zinye kulingana na ujuzi wao.

Kama ni Mkristo siwezi kutetea kuona wakristo wa ukanda fulani wamejazana katika idara moja ya kiserikali wakati kuna watanzania kutoka sehemu zingine ambao wangeweza kufanya kazi hizo vizuri tu.

Na kama Mwislamu siwezi kutetea mtoto wa Mwislamu Elite kupata kazi BOT wakati nafasi hiyo haikupatikana kwa ushindani ambao ungewezesha watu waipate kwa vipaji vyao.
 
Muzee naona unachanganya mada..

Hii mada haizungumzii AJIRA..Napata mchecheto jinsi tusivyo waelewa..

Ndio maana nikasema kwenye post # 8, bullet 4..

Kweli safari ni ndefu..
 
Nafahamu Prof. Luhanga ni Mtaalamu wa Telecommunications Enginineering.He fits in the mawasiliano part.I also know that Prof. Mwamila is one of the very few Professors in Strucural Engineering in Africa.He fits well in the technology part.

Can anyone please assist us in the areas of expertise of others and their contributions in the same so that we discuss about the effectiveness of the committee badala ya kupoteza muda na maswala ya udini,ulaji,ukanda and the like?
 
Thread inaongealea upendeloe ktk uteuzi kwa misingi ya ukanda na ukabila!

Anzisha thread nyingine ya uwezo na effectivenss ya hii team!
 
Muzee naona unachanganya mada..

Hii mada haizungumzii AJIRA..Napata mchecheto jinsi tusivyo waelewa..

Ndio maana nikasema kwenye post # 8, bullet 4..

Kweli safari ni ndefu..

Sikusoma posti yako na nilichojibu ni posti ya fundi mchundo. By the way, unapowateuwa watu waliostaafu kufanya kazi sio unawapa AJIRA?
 
Thread inaongealea upendeloe ktk uteuzi kwa misingi ya ukanda na ukabila!

Anzisha thread nyingine ya uwezo na effectivenss ya hii team!

Ahsante mkuu,

How can one talk about upendeleo bila kuzingatia sifa za wateuliwa na vigezo vilivyowekwa?

Je wateuliwa wana sifa gani kitaaluma na kiutendaji?
Pili,je vigezo gani vilizingatiwa katika kuteua?Wateuliwa wanavyo?

Why do u jump into conclusions?Upendeleoo,upendeleo.

Haya mambo ndio yanaturudisha nyuma haya.Hiyo kamati imeshindwa kutekeleza majukumu yake kwa sababu uteuzi wake ulifanywa kwa upendeleo?

Kwa style hii badala ya kupinga ukanda na ukabila,kinyume chake kinashamiri.Huku ni kuchochea hicho unachoita ukanda na ukabila.
 
Ndugu yangu,
Soma thread vema- aliyeileta aliangalia ktk jicho la vigezo vya upendeleo wa ukabila na ukanda! Mimi nikaangalia majina nikaona upendeloe mwingine kuwa kati ya wote hawa..hakuna jina la Kiislamu!

Mbona unanilaumu mimi? Muulie aliyeanzisha hii thread- ndo maana nikasema anzisheni thread nyingine ya kuangalia uwezo wa hii team!

Tupo hapo?
 
That was then! siku hizi si vigumu kuunda tume/kamati kwa kubalance dini, makabila n.k na ujali utaalam pia.

1. Na sie wenye PhD za sayansi lakini hatuamini katika dini yeyote mtatuweka wapi? Au sisi sio watanzania???
2. Na sie wengine ambayo makabila yetu ni makabila kwa jina tu. Tumezaliwa Dar, lakini hatujawahi kukanyaga wazazi wetu walikotoka, achilia mbali kuweza kuzungumza lugha ya wazazi mtatuweka kundi gani??? Lakin tunazo hizo PhD za sayansi
3.Mbona katika hii issue ya udini huwa mnazungumzia waislamu na wakristu lakini ni nadra kuwasikia mkitaja, budha, sikh, etc? Hawa wapo tanzania, msidhanie tanzania kuna dini mbili tu!!! Acheni hizo. Mtaanza kusema, mbona hawa waislamu waliounda kamati hii ni suni peke yake, shia hawamo??? Acheni hizo!!
4.Hivi mbona mnakuwa vinara katika kushashabikia dini za wenzenu??? Eti mimi muislamu, eti mimi mkiristu, grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr. gademu!!! Mtabaki kushika mkia siku zote!!!!!!!!
 
Points nzuri, umeharibu tu hapo pekundu!
 
Ndugu yangu,
Soma thread vema- aliyeileta aliangalia ktk jicho la vigezo vya upendeleo wa ukabila na ukanda! Mimi nikaangalia majina nikaona upendeloe mwingine kuwa kati ya wote hawa..hakuna jina la Kiislamu!

Mbona unanilaumu mimi? Muulie aliyeanzisha hii thread- ndo maana nikasema anzisheni thread nyingine ya kuangalia uwezo wa hii team!

Tupo hapo?

Kazi ipo.Jina hili,John Ramadhani, ungeliweka kundi gani?
 
Kale kaugonjwa ka inferiority complex kumbe bado kanawasumbua hawa majaa wa Muhammadan.

Madrasa inafanya kaaazi kweli kweli.

Mkuu Schmidt,

Jadili, "uteuzi Unaotia shaka." Hao unaowaita Muhammadan na tuliopitia Madras," tupo wengi humu.

Kama kusema "wengi ni wakristo" ni tatizo kwako, unakumbuka palisemwa nini, wakati Kikwete alipoteua mabalozi watano wote wanawake na waislamu?

Je, wale wote waliolalamikia uislamu wa mabolozi walioteuliwa nao walikuwa wanasumbuliwa na "inferiority complex" na kwamba "sunday school" ilikuwa inafanya kaaazi kweli kweli?

Tujadili mada.
 
Back
Top Bottom