Uteuzi MADC Chadema Yalalama!

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Chadema wamekuwa na mtazamo hasi kwa kila alifanyalo JK.
1. Kateua mawaziri, wakasema hawana sifa
2. Kawateua MADC hata kuapa bado, CDM wanalalama kuwa hawafai; Nyie nendeni mkaimarishe chama chenu, JK hastahili kushauriwa na CDM wakati anateua safu ya uongozi wa nchi.

JK anastahili MISIFA kwa kukidhi matakwa ya watanzania kwani safu ya MADC imechanganya makundi mbalimbali ya wananchi kachanganya makabila yote, darasa la saba hadi PHD, wanasheria, wanajeshi, waalimu, vijana, akinamama, mikoa yote, simba na yanga, walio na harufu ya CDM wamo hiyo ni ishara tosha 2015 CDM mtalia kipigo cha mbwa mwitu
 
Inaonekana unakipenda chama cha demokrasia na maendeleo Chadema sababu hakuna uzi wowote utakaouanzisha humu jukwaani ukaacha kukitaja chama cha Chadema,hongereni Chadema inaonekana mnafanya kazi nzuri kiasi watu hawalali hawanywi kwa kuwawaza nyie.M4C iendelezeni kwa moto uleule,msiwaachie pumzi mafisadi hawa.
 
Ma-DC ni viongozi wa CCM wanaolipwa na serikali kwa ajili ya kazi za chama.... Wapete kwa mara ya mwisho maana kiama chao chaja 2015 baada ya KATIBA MPYA!!
 
Wakati mwingine wekeni ITIKADI pembeni, utangulize maslahi ya Taifa; kwa uteuzi wa MADC, JK katupa zawadi nzuri watanzania

B/S.........Katoa zawadi gani wakati anatekeleza majukumu yake kwa kubabaisha kutegemea na presha anayopata kutoka kwa CDM na wafadhili. Kutoa zawadi ni kumpa mtu kitu ambacho hakustahili, swala la kuunda serikali siyo zawadi, bali ni jukumu lake la kwanza kama Rais. Tofauti ni kuwa yeye anaunda serikali kibabaishaji tu.
 
Wakati mwingine wekeni ITIKADI pembeni, utangulize maslahi ya Taifa; kwa uteuzi wa MADC, JK katupa zawadi nzuri watanzania

zawadi gani wakai ni ujinga...haijakaa vizuri kwanza hata haijulikani tunataka kulifanyia nini taifa hili...kwa hakika hakuna mipango ni kuwatufutia jammaa zako wale kodi zetu..navyojua mimi kama unamalengo fulani lazima utatafuta watu wenye taaluma hio hebu nambie kila sik wanaimba kilimo kwanza je ni kiongozi gani awe rc ded au dc japo angewateuwa wachache wenye elimu ya kilimo toka sua kwenye mikoa ya kilimo lakini duuu hata haieleweki

chadema wamekuwa na mtazamo hasi kwa kila alifanyalo jk.
1. Kateua mawaziri, wakasema hawana sifa
2. Kawateua madc hata kuapa bado, cdm wanalalama kuwa hawafai; nyie nendeni mkaimarishe chama chenu, jk hastahili kushauriwa na cdm wakati anateua safu ya uongozi wa nchi.

Jk anastahili misifa kwa kukidhi matakwa ya watanzania kwani safu ya madc imechanganya makundi mbalimbali ya wananchi kachanganya makabila yote, darasa la saba hadi phd, wanasheria, wanajeshi, waalimu, vijana, akinamama, mikoa yote, simba na yanga, walio na harufu ya cdm wamo hiyo ni ishara tosha 2015 cdm mtalia kipigo cha mbwa mwitu

cuf mbona huwaoni mkuu au wanastahili kulalamika??
 
mafili pole sana kwa kuonesha uwezo wa upeo wako ulipo ishia.je unajua kuwa sehemu kubwa ya walichaguliwa ni wale ambao walikataliwa na wananchi ktk kinyanganyiro cha ubenge?unajua kuwa uswahiba ndio umetawala ktk nafas hiz?kaa hapohapo na ubongo wako unao scrach
 
dada yako kateuliwa nini?manake unaandika pumba tupu na watu kama nyie lazima mtabaki na aibu 2015.
 
Chadema hawajasema ma-dc hawafai bali wamesema hawatakiwi kuwepo,hicho cheo kifutwe.naunga mkono hoja.
 
Du mshkaji mbona sredi zako zote ni cdm? Au wewe ndio diwani uliopigwa chni a_city? Punguza povu mufilisi.
 
waambie hao wakuu wa wilaya ccm kuwa ndo mwisho wa hicho cheo hapa tanzania, 2015 cdm hatuentertain mambo ya kimagamba tukishachukua hii inji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom