Utetezi wangu wa Mhe. Sophia Simba dhidi ya Ukosoaji usio wa haki

Kama hawajijui ni kwa sababu hawajaambiwa; kwa hivyo basi ndio wanaambiwa kuwa wako hivyo, wajijue na waache gender bigotry.

inategemea na wale wanaowaambia kuwa na wao wenyewe siyo wanafiki au wanajiona wana haki ya kuwaita wengine wanafiki huku wao wenyewe unafiki wao hawajauangalia au wanasubiri kuambiwa na wengine.
 
Wajijua (ndio maana wakarespond) kwa matendo yao (leo wanaponda keso wasema msiponde kitu hicho hicho) hawapendi kuambiwa, they are used to: they are too big for small things. Well, whatever rocks your boat.

well you said it all and you said it well. I totally understand you. It makes sense now. carry on.
 
Posts za Mama mbona sizioni?
NN usituharibie thread....

Una maana gani nisiwaharibie thread? kwani mimi mod hapa? halafu Invisible kakuonya uache kutuhumu watu kuwa ndio kina flani...

acha mara moja hii tabia la sivyo nitazifuta na za kwako
 
Una maana gani nisiwaharibie thread? kwani mimi mod hapa? halafu Invisible kakuonya uache kutuhumu watu kuwa ndio kina flani...

acha mara moja hii tabia la sivyo nitazifuta na za kwako
bahati mbaya post haipo niliyoiongelea.....

unaonaje hili la mwanakijiji kumtetea kwa nguvu zoote waziri Simba?
 
Cuzin i love you so much but hey i got to say this nimeisikiliza hayo mahojiano yako na huyo mama simba kutoka kwenye this one blog matukioUK...By the way who is mama Simba?...yaani na elimu yake yote lakini hajui kuwakilisha kabisa ni poor when it comes to communication skills...kwa suala hili cousin mimi wala sikutetei ila keep it up the good work...you rock man!....alafu next time mwambie ajaribu ku pick language anayotaka kuongea siyo anaanza na english then anarudia tena kwa kiswahili mbona anakuwa mbabaishaji hivyo eeh?...

Ni hayo tuu!

xoxo
 
Hatujakataa yeye kujisifu au kusema alichonacho.

Ila katika muda wote uliokuwa unamhoji huyo mweshimiwa basi assilimia 90 ilikuwa ni kueleza juu ya elimu yake.

Angalia hata wewe mwenyewe muda wote unaongelea kitu alichonacho mtu, ambapo nadhani ungeweza kutumia chini ya dk 1 kuelezea hilo jambo.
 
Even wewe mwenyewe Mwanakijiji uwezo wako wa kuandika na kumhoji mtu ni tofauti kabisa.
Nadhani ungebaki kwenye kuandika tu na kazi ya kuhoji ukamwachia mtu mwingine.
 
Hatujakataa yeye kujisifu au kusema alichonacho.

Ila katika muda wote uliokuwa unamhoji huyo mweshimiwa basi assilimia 90 ilikuwa ni kueleza juu ya elimu yake.

Angalia hata wewe mwenyewe muda wote unaongelea kitu alichonacho mtu, ambapo nadhani ungeweza kutumia chini ya dk 1 kuelezea hilo jambo.

You are very rigght the whole mahojiano yeye alikuwa anaongelea kuhusu hiyo elimu yake tuu and i was like wooo slow down na hiyo elimu.The thing is unaweza kuwa na elimu ya darasani lakini maisha hujui siyo kila mwenye elimu ni ana akili ya kujieleza...

Kama humu jf kuna watu wanaandikia vocabulary nzito sana lakini mwambie aongee astkafulahi atasuwasuwa kinomaaaa....ndiyo kama huyo mama simba hajui kujieleza ni majigambo tuu yasiyo na mbele wa nyuma...
 
FMES hoja zako zimetulia mkuu

Lakini,Naomba nikusahihishe sehemu moja tuu,...umesema hawa ndio wanaomuharibia JK....HAPANA mkuu JK anajiharibia mwenyewe...

Mwanakijiji cabinet ya JK ina watu wawili(Mwandosya na Magufuli) wenye mvuto na maslahi kwa watz,hawa wengine wameingia pale kwa misingi ya udini,ufisadi na u-mtandao.

Wewe ni mtu mzima,lakini nakushauri uwache kuwatetea hawa maswahiba wa JK.Ndio waliotuweka sisi ktk hali ngumu hii tulionayo....tumechoka atiiii mwanakijiji...upo hapo mzeeeee?
 
bahati mbaya post haipo niliyoiongelea.....

unaonaje hili la mwanakijiji kumtetea kwa nguvu zoote waziri Simba?

Mimi naona Mwanakijiji kachemsha hapo....maana hata yeye sijui alichokuwa anakitetea.....
 
You never know maana mwanakijiji ni downlow sana na atakuwa na agenda za siri...commotion in the UWT! Hiphip Hureey Mwanakijiji you have been busted.

aisee...cupcake hiyo ya downlow ianweza ikatafsiriwa vibaya na watu hapa halafu izue jambo juu ya mambo....oohoooo....
 
usikute kaahidiwa kinono na kitamu zaidi....

No maana nikasema kumbe 2010 iko karibu hivi?

Nilikuwa nafikiria nyadhifa anazoshikilia Mh Sofia, na hili la Mwanakijiji kuibuka kumtetea kwa nguvu zote, I mean kuna watu wanaweza kuconnect the dots?

Ewe M.M.M, tupatie pia mahojiano na mama Kahama ili kutenda haki, kinyume chake utatufanya tuamini kile tunachoelekea kuamini!
 
Back
Top Bottom