Utetezi wangu wa Mhe. Sophia Simba dhidi ya Ukosoaji usio wa haki

Mwanakijiji,

..hakukuwa na ulazima kwa Sophia Simba kutumia redio yako kuwakandia wagombea wenzake.

that is the problem.. hakuwakandia wagombea wenzake!

..halafu mbona uwezo wake wa kujieleza na kuchambua hoja unatofautiana sana na kiwango cha elimu na uzoefu anaojisifia kuwa nao, pamoja na taaluma yake ya uanasheria?

Kila mtu ana kipaji chake siyo wote wanaweza kujenga hoja hivi au vile. Nakuambia ukipata nafasi ya kuzungumza na watu mbalimbali ambao unaweza kusema ni wasomi katika ujengaji wao wa hoja inasikitisha. Siyo wao tu hata hapa JF kuna watu wanajenga hoja za ajabu kweli, the reasoning is flawed soo are the conclusions.. lakini wenyewe wanaamini kuwa ni wasomi!

Nimegundua kuwa nasikiliza zaidi mtu anachomaanisha kuliko ufundi wake wa kujenga hoja kwani ni wachache sana wanaweza kujenga hoja kisomi katika mazungumzo ya kawaida!

..she did not come across kama msomi. pia nina mashaka kwa umahiri ule ataweza kuvutia wasomi wowote wa maana huko UWT.

Mtu anaweza kuzungumza kwa namna yeyote kutegemea na mazungumzo. Mama Sophia hakuwa anatoa lecture au mhadhara wa kisomi, yalikuwa ni mazungumzo yenye mlengo wa kisiasa tu. Inaonekana amewavutia watu wa kutosha hadi kupata kura za kumfanya awe Mwenyekiti.

..wingu la kampeni za rushwa na ufisadi ktk uchaguzi wa UWT ni zito mno.

hilo yeye mwenyewe kalikiri.. (ukimsikiliza vizuri)

..ingefaa kama ungemuuliza Sophia Simba ametumia fedha kiasi gani, na amezitoa wapi.

Hiyo ya "ninge" ni 20/20. I agree though.

NB:

..hawa kina mama walipaswa kuwa na midahalo kadhaa mbele ya wapiga kura wao.

Hiyo ndiyo point yake kuwa hawakupimwa mbele ya wapiga kura zaidi kuandikwa kwenye udaku tu na malumbano yao. Kwanini chombo cha habari chochote hakikudhamini mdahalo fulani? I'm tempted now to host mdahalo wa wagombea wa Mbeya Vijijini!!

..gazeti la raia mwema linaripoti kwamba wagombea walijieleza mbele ya wapiga kura kwa dakika kama tano kila mmoja na hakuna maswali yoyote waliyoulizwa. baada ya hapo wajumbe walipiga kura.

Well, sasa watu hawakuwauliza maswali yoyote walitarajia nini? Labda na wenyewe walikuwa na ugumu wa kujenga hoja kisomi!

..pia kuna habari kwamba fedha zilikuwa zikigawiwa kwa wajumbe waliokuwa wakienda msalani.

Hili siku hizi kuna watu wamelikubali, lilikuwepo kwenye UVCCM ambapo hadi mkuu wa wilaya moja alikuwa anatumika na mtoto wa kigogo mmoja! Nani atamfunga paka kengele!?
 
Mwanakijiji,

..hakukuwa na ulazima kwa Sophia Simba kutumia redio yako kuwakandia wagombea wenzake.

..halafu mbona uwezo wake wa kujieleza na kuchambua hoja unatofautiana sana na kiwango cha elimu na uzoefu anaojisifia kuwa nao, pamoja na taaluma yake ya uanasheria?

..wingu la kampeni za rushwa na ufisadi ktk uchaguzi wa UWT ni zito mno.

..ingefaa kama ungemuuliza Sophia Simba ametumia fedha kiasi gani, na amezitoa wapi.

NB:

..hawa kina mama walipaswa kuwa na midahalo kadhaa mbele ya wapiga kura wao.

..gazeti la raia mwema linaripoti kwamba wagombea walijieleza mbele ya wapiga kura kwa dakika kama tano kila mmoja na hakuna maswali yoyote waliyoulizwa. baada ya hapo wajumbe walipiga kura.

..pia kuna habari kwamba fedha zilikuwa zikigawiwa kwa wajumbe waliokuwa wakienda msalani.

Jokakuu (sijui ni chatu au anakonda..lol),

Nakubaliana na wewe uwezo wake wa kujieleza kwa kweli ni mbovu. Sikuvutiwa kabisa. Papo hapo, uwezo wa mtu kujieleza sio lazima uhusiane na elimu yake. Uwezo wa mtu kujieleza unakuwa fixed na genetics (kwa maoni yangu) na elimu inakuwa ni nyongeza tu.

Halafu baada ya kuyasikiliza mahojiano yake na Mwanakijiji, ninaelewa kwa nini baadhi ya watu hawakufurahishwa na kuchanganya kwake kwa lugha kusiko na ulazima. Kuna wakati alikuwa anasema maneno kwa kiswahili halafu anarudia maneno hayo hayo kwa kiingereza. Hili limenifanya nijiulize mengi. Kwa mfano, sidhani hata kama anazimudu vizuri lugha hizo alizokuwa anatumia. Sidhani hata kama anaimudu vizuri hata lugha moja. Mtu anaweza akaona hili jambo la kuchanganya lugha kuwa ni dogo lakini mtu mwingine anaweza kuliona sio dogo. Ina maana hata akienda vijijini kuzungumza na wananchi wasiojua kiingereza (achilia mbali kujua kiswahili vizuri) halafu aanze kuongea kama alivyokuwa akiongea kwenye haya mahojiano ataeleweka kweli? Eti anasema raisi wa 'twenty first century'...kuna ulazima gani hapo wa kusema hivyo wakati tafsiri yake kwa kiswahili ni rahisi?

Sijavutiwa hata kidogo na jinsi anavyojieleza ingawa hiyo haina maana uwezo wake wa kazi ni mdogo. Lakini kwa kiongozi ni muhimu awe na uwezo mzuri wa kujieleza na kuelezea mambo ili aweze kueleweka vizuri kwa wale anaowaongoza. Angalia hata ktk historia. Viongozi wengi wazuri ni wale walio na uwezo mzuri wa kujieleza.

Ingekuwa vyema na bora kama hao wagombea wangekuwa na mdahalo.
 
Mzee Mwanakijiji,

..sina tatizo na Mama Simba kusema ana LLB,LLM, na amefanya kazi kwenye NGOs etc etc.

..tatizo langu linakuja pale alipodai mpinzani wake alikuwa ni mgombea aliyefaa kuongoza UWT ya 60s and 70s. au, pale alipoanza kukandia hotuba[reference ya kubeba zege...] na maelezo binafsi ya mpizani wake kwa wajumbe wa mkutano mkuu.

..sikuona ule unyenyekevu anaopaswa kuwa nao mgombea aliyeshinda uchaguzi. badala yake niliona akiendeleza MIPASHO ndani ya redio yako.

..halafu nimeona ameng'ang'ania suala la usomi tu, wakati maisha na uzoefu wake, jinsi alivyo-struggle kupata elimu na kupanda ngazi mpaka hapo alipofika, ni kitu cha kupigiwa mfano.

Nyani Ngabu,

..hata mimi nilishangazwa na jinsi alivyokuwa akichanganya lugha. nadhani she was trying to portray herself kama msomi. badala yake ndiyo unaona akawa anakoroga-koroga.

..lakini kuna tatizo kubwa sana ktk hoja zake. hoja nzuri inaweza kuficha uwezo mdogo wa kujieleza wa mtoa hoja, and vice versa. Mama Simba ana matatizo makubwa kwasababu hoja zake zilikuwa za hovyo-hovyo, halafu akaendelea kuzikoroga kwa kuchanganya lugha.
 
With all due respect ..... mimi naona watu waliuliza maswali ya maana sana, hii dhana kwamba maoni mengine hayakutakuwa kutolewa sidhani kama ni sahihi. Kwanza who has the right to say kwamba opinion ya fulani ni wrong, and where did he/she get that right to judge from? especially kwenye kuhoji uchaguzi?? Je ni baya kuhoji mbona hela zinatembea sana kwenye uchaguzi?Hoja ambayo hata outgoing chair wa UWT aliitoa, tena mbele ya mwenyekiti wa CCM? Kusoma USA/ au kuwa msomi tu in general , siyo sababu ya kuwa mchapa kazi. Wapo watu wengi ktk serikali yetu wamesoma sana,na wamesoma USA, na wengi tu wamesoma Ivy league schools [ you dont have to look hard to find them ] lakini wamefanya nini ambacho unaweza kujiangalia kenye kioo bila aibu na kuwasifia?Lisemwalo lipo, uchaguzi huu ulikuwa hovyo sana, na credibility ya uchaguzi ndani ya chama hicho ni ndogo sana. Hiki ndicho watu walichokuwa wanahoji. Mimi sioni kama mheshimiwa kaonewa, on the contrary,naona watu wameamka na KUHOJI. "Kama hawezi kustahimili moto wa jikoni, basi asikae jikoni". Maswali mengi sana yaliibuliwa na wagombea na wasio wagombea ambayo hayajibiwa mpaka leo.
Na pia sioni kama kulikuwa na suala la jinsia katika KUHOJI huku, tukumbuke kwama alikuwa anagombea uenyekiti wa umoja wa WANAWAKE wa Tanzania, na ni wanawake ndiyo walikuwa wanahoji mambo yote haya.
Kwa upande mwingine, mambo mengine yalikuwa nje ya uwezo wake, kwa mfano, haiingiini akilini kwamba TFF walikuwa na mdahalo kumpata Rais wao na jumuiya muhimu kama UWT haikuwa na mdahalo mdahalo, hili haliingii akilini.
 
Hebu wataje hao wengi walosoma shule za Ivy League.....mimi mbona siwajui.....
 
Vichwa vingapi vya kike vimejaa tz,??????...nini kilichopelekea JK kumpa huyo mama uwaziri huo?...birds of the same feathers...
 
Kwa kweli huyu Mh. anatakiwa ashauriwe kuhusu uchanganyaji wake wa lugha bila ulazima wowote! Naungana na wanaosema kupitia interview ile amejionyesha kuwa hata huo usomi anaosisitiza kuwa nao unamashaka labda vyeti tu! Haikatazwi kuchomekea kiingereza lakini huwezi kuchomekea kiingereza hata kwenye maneno marahisi kama, mifano tu: nili-go, nili-eat, nili-write, nili-read, nili-do! Hii ni mifano inayofanana sana na michanganyo aliyokuwa akiifanya huyo mama! Hapana, hapana, hapana, haikubaliki kwa waziri mwenye dhamana kama yake!
 
Wana JF naona mjadala sasa unataka kuharibika kwa dataz za kudhania vile. Naomba ieleweke kuwa kuna makundi mawili hapa tunayoyaongelea: La kwanza ni kundi la akina Mzindakaya, JK, Karume, Rwakatare n.k. Hawa wana shahada za heshima tu (honoris causa) siyo za kusomea! Chuo chochote kinaweza mtunukia mtu shahada hiyo ya heshima kwa kutambua mchango wake katika jambo fulani. Siku za nyuma hata baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Spika Adam Sapi, Salim Ahmed Salim, Kaunda na Obote walipewa heshima hiyo na vyuo mbalimbali duniani.

Kundi lenye matatizo ni lile lenye shahada feki na linadai kuzisomea shahada hizo! Kundi hili ni hatari sana maana linaharibu kabisa heshima, sifa na viwango vya elimu nchini. Wafuatao wana vyeti feki vinavyoitia aibu Serikali na nchi kwa ujumla:

(1) Salmin Amour - Ph.D yake ni feki, ya kisiasa. Aliipata Ujerumani Mashariki enzi hizo kwa miezi mitatu tu huku akiwa na cheti cha form four tu!
(2) Pius Ng'wandu - Ph.D yake ni feki. Chuo anachodai kusoma cha Stanford, Marekani hakina kumbukumbu zake. Aliosoma nao huko Marekani, akina Prof. Baregu, wanajua kuwa ana Masters tu!
(3) Mary Nagu - Ph.D yaje ni ya kununua kwenye mtandao.
(4) Emmanuel Nchimbi - Ph.D yake ya uchumi ni ya kununua. Hana uelewa wowote wa economics kichwani mwake.
(5) Makongoro Mahanga - Ph.D yake ya ugavi ni ya kununua kama Nchimbi.
(6) Didas Masaburi - Ph.D yake ilinunuliwa pamoja na ya kaka yake Makongoro.
(7) Norman Sigallah - Ph.D yake ni ya kununua kwenye mtandao.
(8) Mafwenga - Ph.D yake sawa na ya Sigallah
(9) Nangale - Ph.D yake ni kutoka chuo kimoja bomu cha chini ya viwango, London.
(10) Mathayo David - Ph.D ya kujipachika.
(11) Mutamwega - Ph.D yake ni feki, ya kununua. Mhusika hawezi kuandika hata sentensi moja sahihi ya Kiingereza.
(12) Lukuvi - Masters yake ni feki. Kaipata akiwa na sifa za elimu ya darasa la saba na cheti cha ualimu, class C.
(13) Samuel Chitalilo - Vyeti vyake vya elimu ya juu toka Uganda vyote ni feki. Ana kesi ya kujibu mahakamani!
Nimepata taarifa mbalimbali kuhusu vyeti vya Wabunge wafuatao: Sigonda, Capt.Komba, Omari Mzeru na Savelina Mwijage. Nazifanyia kazi. Nitazianika hapa muda muafaka!

Ijabu

Ijabu kanipa hamasa sana juu ya suala hili. Wote aliowaeleza kweli wana vyeti feki na hata ukiongea nao, ni vihiyo vihiyo wa kutupwa! Naomba niongeze majina mengine kwenye listi la Mhe. Diodorus Buberwa Kamala, Mbunge wa Mkenge na Waziri wa A. Mashariki. Huyu bwana kasoma Mzumbe kama Nchimbi ambako mtandao wa vyeti feki ulianzia na Mkuu wa Chuo hicho Bw. Warioba. Ph.D yake ni feki, ni ya kununua kama hizo za wenzake aliowataja Ijabu. Hata kwenye Bunge la A. Mashariki tunaambiwa anapwaya ile mbaya. Naibu wake, Mohamed Aboud, yeye ndo balaa maana ni form four failure na CV yake inasema uongo kuwa ana diploma ya Uingereza! Wote ni Ze Komedi mbele ya Wakenya, Waganda, Warwanda na Warundi!

Yupo huyu mama wa Kibaha, Zaibab Gama. Anajiita Dk. wakati ana diploma ya radiology tu! Kuhusu Mbunge Savelina Mwijage (Viti Maalum, Kagera), huyu ana matatizo makubwa maana anatumia jina la marehemu. Taarifa zote zilitoka gazetini, lakini analindwa. Hawezi hata kuandika jina lake, lakini ni Mbunge. Anayebisha aje na ushahidi maana huyu mama namfahamu miaka mingi akiwa mfanyakazi wa ndani wa Mhindi Bukoba.

Namfahamu sana Mbunge Sigonda. Ni mtu wa usalama wa Taifa aliyeishia darasa la nane. Leo naambiwa ni Dk.! Hebu tupe dataz Ijabu na wana JF wengine. Capt. Komba yeye ni msanii na mwizi asiyestahili kujadiliwa hapa maana anawaibia hata wasanii wenzake dani ya TOT. Mzeru wa Morogoro yeye ni mafix moja kwa moja. Hana udaktari wowote! Alijipachika udaktari kuombea ubunge na unaibu waziri kwa JK!

Agustino Lyatonga Mrema - Pacific Western University, a diploma mill. Yeye alipoenda kuchukua hiyo "degree" alikwenda na matarumbeta kibao, vifijo na nderemo.

Mustafa Mkullo - Almeda University, a diploma mill. Kule youngafrican.com nakumbuka ilisema eti chuo chake kiliwahi kutoa associate degree kwa mbwa anayeitwa "Wally" mali ya mwandishi mmoja wa habari huko Marekani (In 2004 the CBS affiliate in Albany, New York, ran a report on Almeda that featured Peter Brancato, who had filled out an application for an associate degree on behalf of his dog, Wally. Part of the "life experience" listed on the application was "Plays with the kids every day ... teaches them to interact better with each other ... Teaches them responsibilities like feeding the dog." Almeda granted Wally an associate's degree in childhood development with a course list including European culture, college algebra, American history, and public speaking.[13] In reply, Almeda claims Brancato perjured himself by creating a false identity using a fabricated name and date of birth. They write, "He completed an application that included a background of the following: Eight-years tutoring pre-K children, curriculum design and development, teaching coping skills, and volunteer coaching."" Almeda University - Wikipedia, the free encyclopedia

Kama sijakosea waheshimiwa wengi sana wana degrees kutoka chuo cha Washington International - I think even Sofia Simba anayo ya huko (sasa Mwanakijiji asije akanishambulia kuwa namtendea vibaya interviewee wake!!!!)
 
Halafu kwani usomi ni nini? Mtu unaweza ukawa msomi bila kujua kiingereza? Hapa nikiwa na maana msomi unayejua lugha moja tu, Kiswahili. Au usomi ni lazima mtu uwe unajua kiingereza tena kile kama cha Pundit....heheheh.....
 
MKK, I salute you Brother. Huu ni Msumari na cha kuongezea tuu tatizo letu watanzania hatupendi kusikia ukweli na ndio maana taifa haliendelei. Ila 2009 naamini mengi yataonekana. Kamua Baba tupo pamoja.
 
Mwanakijiji na wenzako,
Acha kumsifia Simba,CCM n.k,hawana lolote,ni wazushi tuuu

JK ni mtu mbaya sana,nimepata kupita mbeya vijijini nimekutana na mam mmoja msomi wa UDSM,nimeshangaa kumuona akipoteza muda wake ndani ya kampeni za CCM na usomi wake wote ule.Ni kichwa huwezi amini mkuu,....sasa haingii akilini kipi hasa kina mpendeza JK kukumbatia wasio na kitu kichwani waongoze nchi masikini kama hii.

Ooooohhhh,nilipata kusikia JK ni mtu mbaya sana,tena sana,sana,sana,.....sasa nimeamini,hana mapenzi mema na nchi hii.
 
Leo kazi ipo
 
Wana JF naona mjadala sasa unataka kuharibika kwa dataz za kudhania vile. Naomba ieleweke kuwa kuna makundi mawili hapa tunayoyaongelea: La kwanza ni kundi la akina Mzindakaya, JK, Karume, Rwakatare n.k. Hawa wana shahada za heshima tu (honoris causa) siyo za kusomea! Chuo chochote kinaweza mtunukia mtu shahada hiyo ya heshima kwa kutambua mchango wake katika jambo fulani. Siku za nyuma hata baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Spika Adam Sapi, Salim Ahmed Salim, Kaunda na Obote walipewa heshima hiyo na vyuo mbalimbali duniani.

Kundi lenye matatizo ni lile lenye shahada feki na linadai kuzisomea shahada hizo! Kundi hili ni hatari sana maana linaharibu kabisa heshima, sifa na viwango vya elimu nchini. Wafuatao wana vyeti feki vinavyoitia aibu Serikali na nchi kwa ujumla:

(1) Salmin Amour - Ph.D yake ni feki, ya kisiasa. Aliipata Ujerumani Mashariki enzi hizo kwa miezi mitatu tu huku akiwa na cheti cha form four tu!
(2) Pius Ng'wandu - Ph.D yake ni feki. Chuo anachodai kusoma cha Stanford, Marekani hakina kumbukumbu zake. Aliosoma nao huko Marekani, akina Prof. Baregu, wanajua kuwa ana Masters tu!
(3) Mary Nagu - Ph.D yaje ni ya kununua kwenye mtandao.
(4) Emmanuel Nchimbi - Ph.D yake ya uchumi ni ya kununua. Hana uelewa wowote wa economics kichwani mwake.
(5) Makongoro Mahanga - Ph.D yake ya ugavi ni ya kununua kama Nchimbi.
(6) Didas Masaburi - Ph.D yake ilinunuliwa pamoja na ya kaka yake Makongoro.
(7) Norman Sigallah - Ph.D yake ni ya kununua kwenye mtandao.
(8) Mafwenga - Ph.D yake sawa na ya Sigallah
(9) Nangale - Ph.D yake ni kutoka chuo kimoja bomu cha chini ya viwango, London.
(10) Mathayo David - Ph.D ya kujipachika.
(11) Mutamwega - Ph.D yake ni feki, ya kununua. Mhusika hawezi kuandika hata sentensi moja sahihi ya Kiingereza.
(12) Lukuvi - Masters yake ni feki. Kaipata akiwa na sifa za elimu ya darasa la saba na cheti cha ualimu, class C.
(13) Samuel Chitalilo - Vyeti vyake vya elimu ya juu toka Uganda vyote ni feki. Ana kesi ya kujibu mahakamani!
Nimepata taarifa mbalimbali kuhusu vyeti vya Wabunge wafuatao: Sigonda, Capt.Komba, Omari Mzeru na Savelina Mwijage. Nazifanyia kazi. Nitazianika hapa muda muafaka!

Ijabu

Ijabu kanipa hamasa sana juu ya suala hili. Wote aliowaeleza kweli wana vyeti feki na hata ukiongea nao, ni vihiyo vihiyo wa kutupwa! Naomba niongeze majina mengine kwenye listi la Mhe. Diodorus Buberwa Kamala, Mbunge wa Mkenge na Waziri wa A. Mashariki. Huyu bwana kasoma Mzumbe kama Nchimbi ambako mtandao wa vyeti feki ulianzia na Mkuu wa Chuo hicho Bw. Warioba. Ph.D yake ni feki, ni ya kununua kama hizo za wenzake aliowataja Ijabu. Hata kwenye Bunge la A. Mashariki tunaambiwa anapwaya ile mbaya. Naibu wake, Mohamed Aboud, yeye ndo balaa maana ni form four failure na CV yake inasema uongo kuwa ana diploma ya Uingereza! Wote ni Ze Komedi mbele ya Wakenya, Waganda, Warwanda na Warundi!

Yupo huyu mama wa Kibaha, Zaibab Gama. Anajiita Dk. wakati ana diploma ya radiology tu! Kuhusu Mbunge Savelina Mwijage (Viti Maalum, Kagera), huyu ana matatizo makubwa maana anatumia jina la marehemu. Taarifa zote zilitoka gazetini, lakini analindwa. Hawezi hata kuandika jina lake, lakini ni Mbunge. Anayebisha aje na ushahidi maana huyu mama namfahamu miaka mingi akiwa mfanyakazi wa ndani wa Mhindi Bukoba.

Namfahamu sana Mbunge Sigonda. Ni mtu wa usalama wa Taifa aliyeishia darasa la nane. Leo naambiwa ni Dk.! Hebu tupe dataz Ijabu na wana JF wengine. Capt. Komba yeye ni msanii na mwizi asiyestahili kujadiliwa hapa maana anawaibia hata wasanii wenzake dani ya TOT. Mzeru wa Morogoro yeye ni mafix moja kwa moja. Hana udaktari wowote! Alijipachika udaktari kuombea ubunge na unaibu waziri kwa JK!

Agustino Lyatonga Mrema - Pacific Western University, a diploma mill. Yeye alipoenda kuchukua hiyo "degree" alikwenda na matarumbeta kibao, vifijo na nderemo.

Mustafa Mkullo - Almeda University, a diploma mill. Kule youngafrican.com nakumbuka ilisema eti chuo chake kiliwahi kutoa associate degree kwa mbwa anayeitwa "Wally" mali ya mwandishi mmoja wa habari huko Marekani (In 2004 the CBS affiliate in Albany, New York, ran a report on Almeda that featured Peter Brancato, who had filled out an application for an associate degree on behalf of his dog, Wally. Part of the "life experience" listed on the application was "Plays with the kids every day ... teaches them to interact better with each other ... Teaches them responsibilities like feeding the dog." Almeda granted Wally an associate's degree in childhood development with a course list including European culture, college algebra, American history, and public speaking.[13] In reply, Almeda claims Brancato perjured himself by creating a false identity using a fabricated name and date of birth. They write, "He completed an application that included a background of the following: Eight-years tutoring pre-K children, curriculum design and development, teaching coping skills, and volunteer coaching."" Almeda University - Wikipedia, the free encyclopedia

Kama sijakosea waheshimiwa wengi sana wana degrees kutoka chuo cha Washington International - I think even Sofia Simba anayo ya huko (sasa Mwanakijiji asije akanishambulia kuwa namtendea vibaya interviewee wake!!!!)

kama haya ni ya kweli, inatakiwa usalama wa taifa uvunjwe haraka hiwezekanavyo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom