Selous
JF-Expert Member
- Jan 13, 2008
- 1,325
- 144
NEMC haina pesa ya kufanya EIA kila kiwanda cha Tanzania. Badala ya kulaumu NEMC ilaumu Wizara ya Mazingira ambayo ndo inaomba pesa Serikalini. Kwanza hata hiyo sheria ya Mazingira ilikuwa haijapitishwa na Bunge enzi hizo za Mpendazoe. Ungejua 90% ya Viwanda Tz vyote ni vya wahindi na vyote ni vichafuzi wa Mazingira usingesema!!!! hawa watu ni wabaya hawaruhusu mtu kuingia kufanya ukaguzi wowote ndani hata Afisa Afya wa jiji achana na NEMC.
Anaegharamia EIA sio serikali ila ni proprietor