Utendaji kazi wa Lowassa Vs wa Sumaye kama Waziri mkuu

Lastname

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
921
296
Ukiniuliza sasa hivi nitakwambia bora Lowasa maana nina vitu ambavyo naweza tumia kumtetea:
1. Alianzisha bara bara tatu - kwa kiongozi ni muhimu kujaribu different alternatives failure & success ni vitu vingine
2. Shule za kata - ''
3. Discipline kazini - ilikuwa juu kwa wakuu wa mikoa na wilaya
4. Aliikataa Richmond Kikwete akaing'ang'ania
5. ......

Ebu nisaidieni aliyoyafanya Sumaye?
Maaana hawa watu wawili wana hamu sana ya kuongoza taifa hili kama marais, japo nina uhakika rais atatoka uinzani kwa sababu kura yangu sitowapa CCM.
 
sijakuelewa kabisa, maana inaonenekana tayari umekwisha mpigia chapuo lowasa, nawe umetumwa na magamba
 
Ivi Summaye si ndo alikuwa na kama 1 tril kwa account yake!
Ivi ile ilikuwa jungu au kweli?
To me as long as wote wako Magamba,wote discarded
 
mr zero
1.alisema hataki kuona mchicha wa kijani
2.alitumia 500m kwenda u.s.a
3.alitumia 50m kwenda Nairobi
 
Fedrick Tulway Sumaye1. Amekaa madarakani kama waziri mkuu kwa miaka 10 pasipo kubadlishwa inaonyesha jinsi gani alivyokuwa makini2.Amekuwa naibu waziri mojakwa moja mpaka PM3.Alikopa Mil 500 NSSF kwa mambao yake!4.....
 
1. Mkapa alikwepa kuliongezea taifa gharama za kuhudumia mawaziri wakuu wastaafu
-Kwa kuwa pinda atakuwa waziri mkuu kwa miaka minane bila kubadilishwa ni effective leader kuliko Lowasa? think critically!
2. unajua criteria zinazotumika kuteua hao viongozi ni pamoja na kujuana Kikwete alimteua Saidi Mwema Shemeji yake,pia Chagonja akawaacha maafisa waliokuwa juu yao na wenye elimu kubwa kuliko wao na watendaji wazuri tu
Kwa hiyo hapa Tanzania kwa sasa ukiona uteuzi fuatilia sooner or later utagundua kuna some sort of nepotism,friendship n.k siyo kama zamani watu walipewa post by their merits
 
Lowasa na Sumaye ni watu wawili tofauti kabisaaaaaaaa
Sumaye
Katika maamuzi sio mkurupukaji, habari za ndani zinasema aliweza kufuatilia shughuli za serikali mpaka ngazi za wilaya kwa kuwaita na kuwakanya watendaji wabovu na wakajirekebisha kimyakimya, aliweza kusimamia ukusanyaji wa mapato ya nchi na uchumi ukawa unaimalika, kipindi chake madaraja, barabara hata hiyo sera ya shule za kata ilianza. Hakuutafuta uwaziri mkuu kivile kama EL alivyofanya mpaka wakapelekea sakata la EPA, hivyo hakuwa na deni la kulipa kwa wafanyabiashara na wadhamini mbalimbali kama EL, wafanyakazi na wafanyabiashara walikuwa wanaheshimiana sana kutokana na kurejesha heshima kwa wafanyakazi. Tusisahau, uwanja wa taifa......

Hata hivyo alikuwa na mapungufu yake kama vile kujilimbikizia mali, kushindwa kumshauri Ben juu ya ununuzi wa rada, ndege ya rais, kufanya biashara wakiwa ikulu, nyumba za serikali...

Lowasa
Mkurupukaji kwenye maamuzi, hakuweza kusimamia utendaji vizuri bali kutishia tu kupitia vyombo vya habari,au mikutano yao. Hakuwa na mbinu mbadala za kukusanya fedha/mapato bali kutumia tu walizoacha wenzao, bajeti zao za mwaka zilikuwa changa la macho hazitekelezeki tofauti na kipindi cha Sumaye.... Kashfa kubwa kubwa kama za EPA, Richmond na nyinginezo. Alitafuta uwaziri kwa nguvu zote hivyo alikuwa na wakuwalipa akiwa madarakani.... Hata hivyo alijitahidi kama ilivyosemwa hapo juu japo barabara 3 kwa hela walizokusanya wenzao...

Hitimisho.

Kwa kipindi kijacho hawa hawatufai maana hawana jipya....na sera za chama cha wakujikuna zimeoza hazitekelezeki...hasa huyu EL mzee wa misumu na kukurupuka. Nadhani, Chadema kwa kasi waliyonayo wanaweza kurekebisha hayo yote hapo juu.
 
Lowasa:

1. Alianzisha bara bara tatu - kwa kiongozi ni muhimu kujaribu different alternatives failure & success ni vitu vingine
Zimekuwa disastrous kwa kusababisha ajali - amzao bima hawalipi.
2. Shule za kata - ''
Zenye walimu wa Voda fasta - matokeo yake tunayaona
3. Discipline kazini - ilikuwa juu kwa wakuu wa mikoa na wilaya

I don't agree, theft and corruption were worse during his premiership.
4. Aliikataa Richmond Kikwete akaing'ang'ania
Richmond scam was a well planned theft we ever witnessed. It was EL an AR whom planed this from the beginning by bringing those Arabs knowing they'll never deliver. It was just a timed process putting Dowans on standby.
Umesahau Lowasa alishataka kuleta mvua za kutengeneza ili mtera ijae? AKILI KICHWANI MWAKO huitaji kuwa na akili nyingi kwamba huu ulikuwa mpango wa wizi. Mwarabu kule jangwani ana mapesa kemkem ameshindwa kutengeneza mvua itakuwa wewe maskini hoe hae? Jamaa alikuwa anatafuta mwanya wa kuchuma. EL mwizi.
 
Nikimskia mtu anamtaja el natamani nimtemee mate usoni! Jambazi kama hili ni shida sana ndani ya nchi hii!mwizi mkubwa na muuaji mkubwa huyu!kazi kukimbilia makanisa kutafuta sympath ya wananchi! Nonsense !
 
Asante

He tried .....

Back
Top Bottom