Utekwaji Dr Ulimboka Unafanana na Utekwaji wa Mbwambo wa Arumeru!

MgungaMiba

JF-Expert Member
Aug 28, 2011
999
815
Kama itakumbukwa vizuri, yule M/kti wa CDM aliyechinjwa kule Arumeru, kabla kuuawa, kuna mtu alikuwa akimtafuta, akapigiwa simu, ilikuwa usiku, akaenda ndipo akafikwa, simu yake tu ndio ilichukuliwa kuficha ushahidi, pikipiki yake iliachwa.Ukiangalia na hili la Dr Ulimboka, nae alikuwa akitafutwa na mtu, akapigiwa simu, ilikuwa usiku, akaenda ndipo akafikwa! Sijui kama simu yake haikuchukuliwa kuficha ushahidi lakini gari yake iliachwa. Tofauti ni kuwa Mungu amejaalia Dr Ulimboka
amenusurika. Do we notice the similarities of the Executioners? Dr Ulimboka na Kamanda Mbwambo wote walikuwa wapigania haki dhidi ya Serikali. Wenye kufikiri watafikiri.
 
Chaguzi mbili zilzotokea Igunga na arumeru mashariki kuna tuhuma na malalamiko ya vifo vilivyotokea katika jamii.Vyama vya siasa kati ya magamba na magwanda vilianza kutupiana mpira wa nani alihusika.Kwa hili lililotokea kwa dr.ulimboka ni ushahidi tosha kuwa serikali na vyombo vyake vya usalama, walihusika kwa masilahi ya chama chao.
 
Wako watu wanaota kwamba ccm itaendelea kutawala wakati ccm tayari imeshaanza kukabidhi mamlaka kwa chama kingine, ambacho kamwe hakitaacha waovu hawa waendelee kuwepo mitaani bila kupelekwa mahakamani kujibu tuhuma zilizofanywa na Serikali Dhaifu ya ccm, waangalie yanayotokea nchi zingine, watanzania hawakotofauti na watu wa mataifa mengine kama Rwanda na Burundi, Marekani na Malawi
 
Watanzania msilalamike! Mliyataka wenyewe!! Acheni serikali ifanye kazi yake! Hiyo serikali mnayoilalamikia mliiweka madarakani wenyewe. Mkatanguliza ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa bila kujali uhalisia wa mambo. Sasa tulieni mnyooshwe vizuri hadi hapo mtakapopata akili 2015.
 
Punda anaekata roho hurusha mateke ovyo, aghalabu mateke yenyewe huwa lethal!
 
Ukificha simu ya mtu bado hujaficha ushahidi.
Kumbukumbu ya simu zote hutunzwa na computer za wenye mitambo ya simu unless Tanzania kutokana na Ufisadi mitambo imefungwa kiholela. Any thing ugly is possible in Tanzania

Back
Top Bottom