Utekelezaji wa sheria za Tanzania 'double standard'

Magobe T

JF-Expert Member
Mar 19, 2008
4,621
2,567
Kwa mtazamo wangu sheria za Tanzania zinatekelezwa kwa kufuata 'social status' ya mtu. Mfano, mwananchi wa kawaida akituhumiwa kuwa ametenda kosa fulani la jinai atawekwa chini ya ulinzi na polisi lakini kama ni kigogo fulani serikarini mara nyingi siyo hivyo.

Vilevile, kama mwananchi wa kawaida akitiwa hatiani, mfano, kuua bila kukusudia anawekwa rumande miaka nenda rudi lakini kama ni kigogo fulani inawezekana isiwe hivyo. Je, nimekosea kuwa na mtazamo huu? Naomba mchango wenu.
 
this is how bongo and other african countries operate. Usishangae kususura kosota ndani miaka akisubiri kesi wakati Lowasa, Yona, Mkapa, Sumaye, Chenge, Gray Mgonja, Meghji wakitanua kwa raha zao
 
Back
Top Bottom