Utekelezaji wa ahadi za CHADEMA waanza rasmi huko Arumeru

Kitu kimoja na ninavyomjua huyu kijana Joshua Nasari a.k.a Max ni shida! Tena hatari kubwa kwa Magamba!!mjengoni hapatatosha ukichanganya na Lisu , mama Makinda anajiuliza; "Mungu wangu hii balaa ingine imenitokea wapi tena?"
 
Tatizo lingine la watu wa Dar, akili zao zimeshikwa na viongozi wa dini, utashangaa siku ya uchaguzi ******** inaona ibada ndio kitu cha umuhimu kuliko kupiga kura, tatizo lingine ni muingiliano wa makabila tatizo la mwisho kabisa watu wa Dar wanathamini sana pombe kuliko kitu kingine.

Tafadhali fanya utafiti uone akina nani wanakunywa sana pombe kabla ya kuwashambulia watu wa Dar. Ukiulizia takwimu toka watengenezaji wa bia wanajua kuwa ni wakazi wa Arusha!!! No research no right to speak!
 
no time to rest!kwani tuko nyuma miaka 50.kama ulisikiliza kauli za nassari huu si wakati wa kuongelea visima bali computer technology.hivyo hakuna muda wa kusubiri protokali.

Nassari ana uchungu na wana Arumeru. Na atafanya mengi mazuri kuihakikishia ccm kwamba cdm ni zaidi.
 
Unafiki kazi sana! Peleka unafiki wako huko hukooo thithiem siyo hapa....!

Ptz
JF sio mali ya Chadema ni jukwaa huru kila mtu ana haki kuandika na kufuata sheria na kanuni za JF.
 
Back
Top Bottom