Utekelezaji wa ahadi za CHADEMA waanza rasmi huko Arumeru

Duuh kweli Mh Joshua Nassari ana ari ya kuwatumikia watu wake safi sana Kamanda,Mungu azidi kukupigania na kuwapa maisha marefu kina Wasira,Nape na Gamba kubwa Mkapa ili waone mambo yako ndani ya miaka hii na ijayo,Big up Kamanda
 
Meru unaweza kwenda na buku Bar na ukarudi umelewa?.......
Mkuu nimezaliwa Dar na nawafahamu vyema watu wa Dar, mbunge wa Ilala Musa Zungu katibu wake kazi yake kubwa ni kufuatilia Jimboni ni nyumba gani ina msiba ili Zungu apeleke turubai viti, ubwabwa na ubani wa shillingi 50,000/= basi, hivyo ukitaka kushindana na Zungu Ilala una kazi ya ziada.
Lakini msife moyo jimbo la Segerea litakuwa wazi na tutafanya maamuzi kama ambayo tuliyafanya awali kabla hili Jambazi Makongoro Mahanga alijakwiba kura zetu, na kuonesha kwamba Mungu si Athumani na wala si Mwamedi Makongoro amepatwa na stroke last week.

Sasa naamini Dar kweli wengi ni vilaza unaona ubwabwa na elfu 50 kama ndo majukumu ya mbunge duuh! kaaazi kwelikweli.
 
I hope anawashirikisha pia madiwani kwani wakiamua huwa wasaidizi wa karibu sana au waharibifu wabaya ajabu,
 
Dar ni janga la kitaifa ila litaisha tu, nafikiri tuwape jina wakazi wake ni mradi kumekucha tukamtumikie mkoloni ambaye ni Mtanzania mwenzao
 
Dar itakuwa ni finishing line,move ya kutokea pembezoni kuelekea capital ni nzuri.2015 huenda Dar ikafumbua macho
 
watu wa namna hiyo wanaotegemea misaada ya kujiibia wenyewe ndo maana wataishia kupanga nyumba asilimia kubwa. Tujifunze kwa Wameru......maana sisi Wakigoma tulishafaata nyayo....hongera Nassari na hongera JF kutuweka pamoja nguvu ya umma
 
leo nassary na mzee ndesamburo wataanza kazi ya kuchimba visima baadhi ya vijiji..lakini salam za jana jioni ni kuwa mfadhili mkubwa wa ccm mustafa sabodo amefurahishwa na ushindi huo hivyo amempa ofa kijana ya kuchimba visima vinne kwenye jimbo lake..nassary amesema atawatumikia watanzania wote na hasa wana arumeru na ataanzia ahadi zake maeneo alikopata kura chache hasa kwa sumari..na atakapoapishwa ofisi ya mbunge iliyokuwa imefungwa muda mrefu sasa itaanza kuwa wazi muda wote na watu wameambiwa wasisite kuitumia maana ni ofisi yao..
 
Dar wasipobadlika kipindi hiki cha ushindi wa Arumeru basi wapewe semina toka kanda maalumu.By Kazaula.
 
katika hali inayotafsiriwa kuwa chadema wamejipanga katika kuleta mabadiliko katika jimbo la arumeru mashariki,utekelezaji wa ahadi za mbunge mteule kutoka cdm bw. Joshua nassari umeanza rasmi hata kabla ya kuapishwa kwake.
Taarifa zilizonifikia kutoka kwa wakazi wa meru ni kuwa visima vya maji vimeanza kuchimbwa.

Nadhani nape nnauye anahitaji kupata taarifa hii kutokana na ushauri alioutoa kwa cdm.

Hongera josh nassari!

Hatushauriwi la kufanya, hili siyo wazo la Nape tafadhali
 
Hatupati ushauri wa nini la kufanya toka kwa Nape, yeye na magamba wanaweza pia kuja kuendeleza jimbo siyo mpaka waupate ubunge maana imekuwa visa kama hukuichagua ccm eti hakuna maendeleo
 
Binafsi sina cha kumpongeza Nassari kwa sasa. Hayo anayoyatekeleza aliyaahidi mwenyewe akiamini anaweza kuyasimamia. kwa hiyo anatekeleza uliuo wajibu wake. Tatizo kubwa letu Watanzania ni hili la kumsifia kupita kiasi mtu anayetekeleza wajibu wake. Ndiyo maana Chama Cha Magamba wanachukulia kutekeleza ahadfi ni kama hisani. Kijana Nassari acahape kazi ili Wameru waione tofauti iliyopo kati yake na wale wa kijani ili 2015 wasiwe na muda wa kusikiliza porojo
 
ukombozi uko njiani


Yani hauko mbali Kamanda!
Na bila shaka kijana mdogo kama Joshua Nassari wakiwa kama 10 tu huko majengoni ingependeza sana!

G. Lema+Z. Kabwe+H. Mdee+ J. Mbilinyi+J. Nassari nafikiri mafisadi watapumulia ICU ktk mikutano inayokuja!
 
Ha ha haaa! Sio watu Dar ninao wafahamu. Mbona Dar ni ubinafsi uliopitiliza na ndiyo maana sio chachu ya mabadiliko!!!!!
Dar ni magamba full, wakishapewa vi-khanga na t-shirt vya kijani basi wanabakia kwenye foleni miaka mitano,
 
Mungu ibariki Chadema Mungu mbariki Joshua awatumikie wana Arumeru kwa uadilifu Amen.
 
Back
Top Bottom