Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 264
Utawala wa mkap mgogoro wa zanzibar ulishika kasi. maneno ya vijembe dharau vilienea kutoka kiongozi mkuu. Nakumbuka nilimsikia mkapa akisema hata wakija wageni ccm haikubali kuiinagukia Cuf. alitumia neno moja kwenye mkutano wa hadahara wa CCM "wakome kutuingilia mambo yetu ya ndani".
lkn tangu aingie Jk, mambo yote yamekaa sawa. Kuna GNU. jee mkapa alifanya makusudi kuwaparaganya wazenj?
lkn tangu aingie Jk, mambo yote yamekaa sawa. Kuna GNU. jee mkapa alifanya makusudi kuwaparaganya wazenj?