Elections 2010 Utawala wa mazoea, vihiyo wa fikira wanaongoza nchi

mzungukichaa

Member
Nov 8, 2010
57
27
Kama ulibahatika kuona mdahalo wa katiba uliorushwa na ITV jumapili utagundua ni viongozi wa aina gani wanaoiongoza ccm na taifa. Hao ndio watawala wa CCM. Pius Mswekwa hawezi kuongea hoja zinazoeleweka, sana sana alikuwa akiongea kwa jaziba. Viongozi wengi wa sisiemu hawawezi kujenga hoja zinazoeleweka na naamini hata baba yao bila kuandaliwa hotuba na maswali hawezi kusimama mbele ya watu akaongea kwa upeo wa hali ya juu.....
 
Back
Top Bottom