Utawala butu

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Naamini bunge linaweza kuweka kipimo na ukomo wa kiongozi ambaye anaonekana wazi kwamba uongozi umemshinda.hii itasaidia kuleta utawala bora wenye ufanisi na tija kwa wananchi bila kungojea muda fulani upite ndio marekebisho yafanyike,mfano japani,kama waziri mkuu haridhishi katika utendaji wake anapigiwa kura ya imani/maoni akishindwa out
 
Back
Top Bottom