Utatuzi umepatikana:Kwa wale wenye matatizo ya kushindwa kusimamisha uume au kumwaga mapema

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,896
1,642
Nina maelezo yakina juu ya kutengeneza juisi ya tangawizi itakayokufanya uchelewe kufika kileleni kwa zaidi ya dk 20 mpaka 30 na uwezo wa kurudia round nyingi zaidi
napatikana hapa 0712505049
gharama za maelezo na maswali yote ni tsh 5000 tu
 
hongera kwa ujuzi, ila unazungumizia ile ya kumix na vitunguu swaumu nin...

wape watu elimu bure Mungu atakubaliki sana. ukitaka free maelezo njoo PM vijana...
 
yangu sio complicate kama ile ya vitunguu na impact yake kwenye hii yangu within 1or 2day haina madhara na nihata ukinywa kila siku tofauti na kitunguu swaumu amabyo ina act like bustar tu na impact ipo slow sana
 
basi ni pm tubadilishane ujuzi, kama hutojali
 
Haahahahhaahahaahah jaman huko kote mnazunguka xana dawa mm ninayo ninooomaa inaitwa mundendee nibalaaa hiyo ukuitumia usipime lakan angalizo usitumie ukiwa na mpnz wako ambayea unatalajia kufunga nae ndoa please napatikana what'sap,,,no 0716036523
 
mkuu hii sio dawa kwani nguvu za kiume si ugonjwa bali ni ukosefu wa vyakula flani vya kutia ashiki hii juisi ni kama kinywaji nachakula na tumia mda wowote ule haina madhara yoytote bali inafaida nyingi kama kulainisha choo, kurekebisha mtirirko wa damu, na pamoja na kutatua tatizo la nguvu za kiume
 
Pole saana Kijana appoh kwa njaa.

Hujui matumizi ya jukwaa hili. Jukwaa hili lilianzishwa mahususi kwa ajili ya kusaidiana katika matatizo mbalimbali hususani ya kiafya. Halikuanzishwa kwa ajili ya biashara. Msaada unaweza kuwa wa ushauri, maelekezo tiba ilipo, na hata kama unajua tiba basi unaisema. Wapo waliojitahidi kufanya biashara kama akina #Mzizi na wengine lakini wameshindwa. nakushauri tu (i) UKAE kimya kama huwezi kutoa msaada kwa wanaJukwaa au (ii) UUMWAGE ushauri/ujuzi/msaada wako hapa jukwaani kama hukujua madhumuni ya jukwaa.
Labda kama mtu akipata tiba sahihi basi aweza rudi na kukushukuru. Ila njaa zako peleka kwingine..

Umenipata? ok...

Nina maelezo yakina juu ya kutengeneza juisi ya tangawizi itakayokufanya uchelewe kufika kileleni kwa zaidi ya dk 20 mpaka 30 na uwezo wa kurudia round nyingi zaidi
napatikana hapa 0712505049
gharama za maelezo na maswali yote ni tsh 5000 tu
 
Kijana merengo90,

Hakuna haja ya PM hapa. Ni jukwaa la kusaidia watu hapa. Kama kuna kitu unakielewa basi mwaga hapa na watu woote wanafuaine. Kama ulivosema, Mungu atazidi kukubariki kwa kuwa mbaraka kwa wengine. tuache tabia ambazo baadhi ya watu kama #appoh za kutaka kufanya biashara badala ya kusaidia watu. Binafsi nilishatoa ushuhuda wangu hapa jukwaani na wengi waliufanyia kazi.

hongera kwa ujuzi, ila unazungumizia ile ya kumix na vitunguu swaumu nin...

wape watu elimu bure Mungu atakubaliki sana. ukitaka free maelezo njoo PM vijana...
 
ww ndugu amos nyamambaya,

kama unachochote basi weka hapa kwa faida ya wanaJukwaa. huna haja ya PM... Utapata shida kuzijibu...

Haahahahhaahahaahah jaman huko kote mnazunguka xana dawa mm ninayo ninooomaa inaitwa mundendee nibalaaa hiyo ukuitumia usipime lakan angalizo usitumie ukiwa na mpnz wako ambayea unatalajia kufunga nae ndoa please napatikana what'sap,,,no 0716036523
 
Kijana merengo90,

Hakuna haja ya PM hapa. Ni jukwaa la kusaidia watu hapa. Kama kuna kitu unakielewa basi mwaga hapa na watu woote wanafuaine. Kama ulivosema, Mungu atazidi kukubariki kwa kuwa mbaraka kwa wengine. tuache tabia ambazo baadhi ya watu kama #appoh za kutaka kufanya biashara badala ya kusaidia watu. Binafsi nilishatoa ushuhuda wangu hapa jukwaani na wengi waliufanyia kazi.

ushuhuda upi huoo mkuu?? mimi sija demand a single penny
 
Ok xawa ucjali natajia kuzipata mwezi wa pili mwanzoni kwa sababu huwa zinakuja kwa order maalumu na kwa idadi kamili ni kama tablets ya panado so msjali wanajukwaaa,zikifika tuu nitawajulisha wote,,,,,,!!!!coz hizi dawa zinatoka uk sio hapa Tanzania,,,,!!!!!!
 
Pole saana Kijana appoh kwa njaa.

Hujui matumizi ya jukwaa hili. Jukwaa hili lilianzishwa mahususi kwa ajili ya kusaidiana katika matatizo mbalimbali hususani ya kiafya. Halikuanzishwa kwa ajili ya biashara. Msaada unaweza kuwa wa ushauri, maelekezo tiba ilipo, na hata kama unajua tiba basi unaisema. Wapo waliojitahidi kufanya biashara kama akina #Mzizi na wengine lakini wameshindwa. nakushauri tu (i) UKAE kimya kama huwezi kutoa msaada kwa wanaJukwaa au (ii) UUMWAGE ushauri/ujuzi/msaada wako hapa jukwaani kama hukujua madhumuni ya jukwaa.
Labda kama mtu akipata tiba sahihi basi aweza rudi na kukushukuru. Ila njaa zako peleka kwingine..

Umenipata? ok...

alafu wewe utakua lile lijamaa lililonizurumu hela zangu za malipo tu
 
isiwe shiiida..jamani..hebu someni hapa...msioweza ku-google....:

Tatizo La Mwanaume Kuwahi Kufika Kileleni Mapema!

1. Malalamiko Yanayotolewa Na Baadhi Yao Yanaonesha Kwamba, Muda Wa Kumaliza Tendo Huwa Kati Ya Nusu Dakika Na Dakika Tatu Kwa Tendo La Kwanza, Huku Wengine Wakimaliza Hamu Katika Hatua Za Awali Tu Za Hamasa Ya Kimahaba.

2. Hata Hivyo, Kumetolewa Maelezo Na Nafuu Ya Ongezeko La Muda Katika Tendo La Pili Na Kuendelea, Ingawa Bado Suala La Kutangulia Kufika Kileleni Kabla Ya Wanawake Limekuwa Likiwahuzunisha Wanaume Wengi.

3. Ni Ukweli Usiopingika Kuwa, Mwanaume Anapowahi Kufika Kileleni Kabla Ya Mwenzake Humsababishia Kero Mwanamke Anayeshiriki Naye Tendo, Kwani Humwacha Njia Panda Pasipokuwa Na Hitimisho La Raha Ya Kujamiiana.

4. Hali Hii Inatokana Na Maumbile Ya Uume Wa Mwanaume Ambao Husinyaa Mara Baada Ya Kuhitimisha Mbio Zake, Lakini Kwa Mwanamke Kuwahi Si Tatizo, Kwani Hakumfanyi Ashindwe Kumsindikiza Mwenzake Hadi Kileleni.

5. Utofauti Huu Ndiyo Unaowafanya Wanaume Wahuzunike Zaidi Wanapokabiliwa Na Janga Hilo Kiasi Cha Kufikia Hatua Ya Kwenda Kwa Waganga/Matabibu Ili Iwasaidie Kuepuka Balaa Ya Kutoka Uwanjani Na Aibu.

6. Ingawa Kumekuwa Na Mafanikio Katika Tiba Za Kisayansi, Lakini Bado Wanaume Wameshindwa Kupata Ukombozi Wa Kudumu Wa Tatizo Hili. Wengi Wamejikuta Wakijiongezea Mzigo Wa Fikra Kwa Kuzitumaini Zaidi Dawa Au Kuzitumia Na Kupata Matokeo Mabaya Zaidi Ya Kuishiwa Nguvu Kabisa.

7. Kwa Kufahamu Mikinzamo Iliyopo Kati Ya Akili Na Tiba Ya Nguvu Za Kiume Na Madhara Yachipukiayo Imebainika Kuwa, Mtu Anaweza Kujitibu Tatizo Hilo Kwa Kutumia Kanuni Za Kisaikolojia Na Mafanikio Yasiyo Na Madhara Yakapatikana.
Wataalamu Wa Kisaikolojia Wanatambua Kuwa Kanuni Ya Ufanyaji Mapenzi Iko Zaidi Kwenye Ubongo Kuliko Mwilini.

8. Kinachotokea Hadi Mtu Akapata Msisimko Wa Kufanya Mapenzi Si Mwitikio Wa Mwili, Bali Ni Utambuzi Wa Akili Juu Ya Kiwango Cha Mapenzi Kilichopokelewa Kwenye Ubongo Unaojihusisha Na Hisia.

FAHAMU VYAKULA VINAVYOONGEZA NGUVU.....
Kuna Aina 2 Ya Vyakula Ambavyo Vimefanyiwa Utafiti Na Kubaini Kuwa Ni Moja Ya Vyakula Vinavyosaidia Kuongeza Nguvu Za Kiume Na Havina Madhara Katika Engezeko La Nguvu Za Kiume, Katika Vyakula Hivyo Vyenye Uwezo Wa Kuongeza Nguvu Za Kiume Kiasili Ni:

1. TANGAWIZITangawizi Ni Moja Ya Chakula Kinachoweza Kurejesha Nguvu Za Kiume, Unaweza Kuichemsha Tangawizi Na Ukatumia Kwa Kuinywa Kama Chai Asubuhi, Mchana Na Jioni Pia Tangawizi Unaweza Ukaitumia Katika Mchanganyiko Wa Kiasili Kwa Kutumia Asali,Kitunguu Saumu Na Tangawizi Yenyewe.

JINSI YA KUTUMIA MCHANGANYIKO HUU:
Chukua Tangawizi Na Kitunguu Saumu Vitwange Kisha Vichanganye Na Asali Pamoja Na Unga Wa Habat Soda Na Uwe Unakunywa Mchanganyiko Huu Kwa Kutumia Kijiko Cha Chai Kimoja Kutwa Mara 3 Kwa Muda Wa Wiki Moja Na Utaona Mabadiliko.

2. TIKITI MAJI:
-Chakula Kingine Kinachosaidia Katika Upande Wa Kuongeza Nguvu Za Kiume Ni Tunda La Tikiti Maji, Unaweza Ukachukua Tikiti Lako Ukalikata Na Kutengeneza Juice Ya Tikiti Kisha Unakunywa Ila Sio Lazima Utengeneze Juice Hata Lenyewe Tu Unaweza Ukalila. Ila Jitahidi Kutumia Tunda Hili Hata Kila Siku Kwani Linasaidia Sana Kwa Wenye Matatizo Ya Nguvu Za Kiume.

Si lazima utumie chemicals tumezungukwa na suluhisho ya matatizo mbalimbali kwa kutumia matunda na mbogamboga ............Jaribu ujionee.....

Nina maelezo yakina juu ya kutengeneza juisi ya tangawizi itakayokufanya uchelewe kufika kileleni kwa zaidi ya dk 20 mpaka 30 na uwezo wa kurudia round nyingi zaidi
napatikana hapa 0712505049
gharama za maelezo na maswali yote ni tsh 5000 tu
 
Kijana merengo90,

Hakuna haja ya PM hapa. Ni jukwaa la kusaidia watu hapa. Kama kuna kitu unakielewa basi mwaga hapa na watu woote wanafuaine. Kama ulivosema, Mungu atazidi kukubariki kwa kuwa mbaraka kwa wengine. tuache tabia ambazo baadhi ya watu kama #appoh za kutaka kufanya biashara badala ya kusaidia watu. Binafsi nilishatoa ushuhuda wangu hapa jukwaani na wengi waliufanyia kazi.

Ushuhuda gani
 
Back
Top Bottom