Utata watanda nchi anakotibiwa Ulimboka; Yadaiwa yupo Ujerumani na si Afrika Kusini

Humanity? do you call it humanitarian when doctors refuse to treat the sick and ill just because they demand extravagant and luxurious demands? And you want me to fill pity for the evil who leads them?

Wouldn't they be in a better position to negotiate while treating?

kula tano...
 
Naona unazidi kuanika ukilaza wako na kupigilia mstari kuwa akili zako ni sawa na akina Lusinde na maji marefu..that could only be correct if used it as "filled with pity, anger, fear etc.

Soma sentence nzima wacha kukurupuka. Nimesoma Kiingereza kuanzia chekechea, wakati shule bado zina waalim wa kikoloni, sikukijuwa mitaani.
 
Du! nyie viongozi sijui ni lini mtajifunza kuchuja mnachokiongea. hebu ona tamko la RAIS wetu kwetu sisi watanzania

"Kutokana na ukweli huo basi kama mgonjwa anayeona kuwa hawezi kutibiwa katika hospitali ya Serikali bila kulala kwenye kitanda chake, bila kupata vipimo kupitia vifaa bora, bila kupata dawa na hayupo tayari kuona daktari hana vitendea kazi, awe huru kuachana na hospitali za serikali na kwenda kwenye hospitali zinazoweza kumuhudumia hivyo. Hana sababu ya kulalamika ili ashinikize kuboresha kwa miundombinu na vitendea kazi. Asisumbuke, hatapewa huduma hizo"

sio kosa lake kosa la WALIOMPOTOSHA!!
 
Germany or South Africa, what does that help us? he was sent out of the country by his beloved to try and rescue him from death? or is it his health?

Does he realize now that many were in his position and could not afford to be even transferred to other hospitals?

I don't give a damn wherever he is. What does that help us?

Of course, ukizingatia hata Mtume alikufa na kuzikwa who is Ulimboka asife?
 
Soma sentence nzima wacha kukurupuka. Nimesoma Kiingereza kuanzia chekechea, wakati shule bado zina waalim wa kikoloni, sikukijuwa mitaani.
And you want me to fill pity for the evil who leads them? Labda mkoloni wa kiarabu ndio alikufindisha hivi sio mwingereza.
 
Mwanamme anakwenda "kuyamaliza" klabu? kwi kwi kwi teh teh teh!
Mbona wewe umejipanga kuyumbisha mada zote zinazohusu issues za serikali, wewe ni nani?? Hueleweki umepewa kazi na Faiza Fox nini ndugu yao kina Rejao na Ritz????

 
Mbona wewe umejipanga kuyumbisha mada zote zinazohusu issues za serikali, wewe ni nani?? Hueleweki umepewa kazi na Faiza Fox nini ndugu yao kina Rejao na Ritz????



Sasa hapo ni kipi usichokielewa? kuna mwanamme anakwenda "kuyamaliza" au kumaliza mgomo kilabu ya pombe?
 
What kind of assistance do you what Mr zomba? At least other great thinkers in this JF believe that if the Public espacially Govt official dont where Dr Uli is, he will be safe. What about mr Zomba, are of deffernt opinion?
 
Sasa hapo ni kipi usichokielewa? kuna mwanamme anakwenda "kuyamaliza" au kumaliza mgomo kilabu ya pombe?

Ndio yupo rahisi jakaya mrisho kikwete waliyamaliza na swahiba yake lowasa katika kilabu ya kempiski dar es salaam
 
Ndio yupo rahisi jakaya mrisho kikwete waliyamaliza na swahiba yake lowasa katika kilabu ya kempiski dar es salaam

Sema basi na Ulimboka alikuwa Kempinski akiyamaliza? Naona kayamaliza kweli!
 
Aliyepotea ni huyo asiyejijuwa saa hizi yuko hali gani wala wapi. Na mliyepotea zaidi ni nyinyi mnaoshadidia wagonjwa wazidi kukosa matibabu na mnaodhani kuwa alikuwa akifanya jambo la maana.

Mnashindwa kufikiri kitu kidogo tu, ni nini kilimpeleka usiku klabu ya ulevi kwa kuitwa "tuyamalize"? Fikiri na uwe mkweli wa nafsi yako.

Akili zako ni sawa na akili za shehk ponda.
 
Back
Top Bottom