Inaelekea toka saga la dr Uli lianze Zoba halali kabisa.
Hao wengine wanaoumwa waliteswa kwa kupigwa na Kung'olewa meno na kucha angalia yasije yakakupata na wewe utajutaSiyo mmoja, ni wote waliokosa huduma kwa mgomo uliochochewa na huyu mwenzenu anaeonja na kujuwa ni nini kuumwa saa hizi.
Ni Vizuri kweli hata Ubalozi wa Afrika Kusini hawajuia aliko... Rais Mwenyewe hajui
Kama unaona hii thread haikuhusu hamna haja ya kuifungua na kuanza kuweka viingereza vyako vya ngumbaro mkuu tunaheshimiana usilete chuki zako na ulimboka hapa jamvini utaanza kuwa pm mods sasa hivi kuwa umetukanwa
Kama shekhe farid wa UAMSHOSilali "mpaka kieleweke". Jee, wewe unalala?
mwenyeezi mungu hakutaka huyo aondoke haraka haraka, alitakiwa na yeye aonje anacho-kionja sasa hivi.
Namuombea asife haraka, abaki kuhadithia maumivu ayapatayo.
Germany or South Africa, what does that help us? he was sent out of the country by his beloved to try and rescue him from death? or is it his health?
Does he realize now that many were in his position and could not afford to be even transferred to other hospitals?
I don't give a damn wherever he is. What does that help us?
Kwahiyo serikali ilimpiga ili ajue kuumwa nini?Kuumwa ni kuumwa iwe ukucha au kidole. Na ni vema sana kwa sasa anajuwa kuumwa ni nini.
Natumai wazee, ndugu na jamaa zake pia kwa sasa wanaelewa ni nini kuuguza, ingawa huyu anapatiwa huduma bora kabisa duniani, lakini machungu ya kuuguza wanayapata, sasa wafikirie wale waliokuwa wanauguza bila kuwa na daktari, kwa sababu eti hawalipwi vizuri, ndiyo watamuelewesha vizuri huyu kijana wao atatapota unafuu, kuwa alichokifanya ni dhambi kubwa sana si kwa wagonjwa tu, bali kwa kuumiza roho za wengi wanaouguza pia.
Unfortunately I do give a damn if people behaved like governments, you'd call the cops. But unfortunately both are
working on the same side to dehumanize it's population...
Mimi nalala ndugu yangu kama kawaida kwani haya mambo nili yajua wiki moja kabla ya uchaguzi mkuu mwaka 2010. Na yakayojiri. TAKE CARE.Silali "mpaka kieleweke". Jee, wewe unalala?
Kwahiyo serikali ilimpiga ili ajue kuumwa nini?
Mimi nalala ndugu yangu kama kawaida kwani haya mambo nili yajua wiki moja kabla ya uchaguzi mkuu mwaka 2010. Na yakayojiri. TAKE CARE.
Germany or South Africa, what does that help us? he was sent out of the country by his beloved to try and rescue him from death? or is it his health?
Does he realize now that many were in his position and could not afford to be even transferred to other hospitals?
I don't give a damn wherever he is. What does that help us?
Hakuna option nyingine zaidi ya Yahaya? Kuna semi hizi, "Aisifuye mvua imemnyea" na "Kimjazacho mtu moyo ndicho kimtokacho mtu kinywani mwake."Una ujamaa na Marehem Yahya Hussein?Isitoshe, kauli yako na za wengine humu zinaniaminisha yanayojiri kwa madaktari na kina Ulimboka ni siasa na si zaidi ya hicho, mengine ni madai tu ya kutafuta sababu, si ndio?Ukicheza mchezo mchafu (rough), usitegemee kuwa utastahamiliwa tu, na wenzako wanajuwa pia kucheza rafu (rough).
Una ujamaa na Marehem Yahya Hussein?
Isitoshe, kauli yako na za wengine humu zinaniaminisha yanayojiri kwa madaktari na kina Ulimboka ni siasa na si zaidi ya hicho, mengine ni madai tu ya kutafuta sababu, si ndio?
Ukicheza mchezo mchafu (rough), usitegemee kuwa utastahamiliwa tu, na wenzako wanajuwa pia kucheza rafu (rough).
Humanity? do you call it humanitarian when doctors refuse to treat the sick and ill just because they demand extravagant and luxurious demands? And you want me to fill pity for the evil who leads them?
Wouldn't they be in a better position to negotiate while treating?
Nikweli anatukanwa,ila maadili yanazingatiwa.