utata wa muungano Dr Slaa apendekeza serikali 3

Wakati Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere (RIP) anazima hoja ya G55 kuhusu Serikali TATU alisema hivi ninaomba kunukuu "Sera ya CCM ni serikali MBILI kuelekea serikali MOJA"

Wanzazibari mumeliwa chini ya CCM Zanzibar itakuwa mkoa na Rais wake atakuwa RC kama Hajart Mariam (RC for Coast region) pale watakapounda serikali MOJA.

Wrong...itakuwa wilaya kama Mafia..wako 1.5 tu sawa na Temeke
 
oyaaa Zanzibaris mtaondoka lini?? ya nini kukaa na donge moyoni muda wote huo?? hadi Chief Judge analalama, si muanzishe referendum kama ya Darfur kisha muondoke zenu!!?? Wakubwa wazima mnaishi kwa Dirham za kaka na wadogo zenu wa Oman!!!?? Uvivu, chuki, husuda na ulalamishi umewajaa tu!!
 
oyaaa Zanzibaris mtaondoka lini?? ya nini kukaa na donge moyoni muda wote huo?? hadi Chief Judge analalama, si muanzishe referendum kama ya Darfur kisha muondoke zenu!!?? Wakubwa wazima mnaishi kwa Dirham za kaka na wadogo zenu wa Oman!!!?? Uvivu, chuki, husuda na ulalamishi umewajaa tu!!

Pole mgaga gigi koko..
Sisi wazanzbari hatuishi kwa pesa za arabuni,waterver yu saying lakini ndio ndugu zetu maisha ni kusaidiana,ila nyinyi munaishi kwa ujambazi,ukahaba,hapo bongo kama hujawa mwizi huishi,wazanzbairi waliko bongo wao ni biashara tu,,lakini nyinyi mukija zanzibar ukahaba na kuuza vinyago,na ujambazi,,hatuna muda tutauvunja muungano ,,,na wagaga gigi koko wote tutawafanya watumwa wote hapa zanzibar watufungulie mageti ya milango,na tutawafunga minyororo za miguu.

Ikiwa kweli munaupenda muungano unakuja wa EAC kuna uganda,kenya,congo,burundi,hapo ndipo mutaipata,mana hakuna muungano ajira hakuna jee ukiwepo ? Mutaburura marikwama mpaka dunia imalize,,,,,,Europian union kuungana kwao walichukua miaka karibu mia moja,ndio wakafikia kuungana,iweje leo africa siku mbili tu munaoungana eti muziongoze nchi zote,munashindwa kijimbo kimoja tu,angalia tanga kulivyomalizika,,hakuna kazi zaidi ya kupakatana tu,hakuna hata kiwanda cha kutengezea pipi hehehe,,,,

Nawatakia kila la kheri wagaga gigi koko
 
Lazima Dr Slaa aelezwe ukweli. Bungeni amekaa zaidi ya vipindi 2 kwanini asipeleke hoja hiyo au ndio ameliona sasa.

Aache unafiki
.

Karibu Gahwa na haluwa basiiiiiiii

Mbona JK amekuwa waziri kwa miaka 20 na Rais miaka 6 lakini anazungumzia kubadili katiba mwaka huu!!
 
Badala ya kuzungumza kijiweni peleka hoja Bungeni kwa kutumia wabunge wako wa Chadema. Sio kulalama chooni
Embu nisaidie kuna mtu amekulazimisha kusoma taarifa hii.sasa mbona mdomo unakuwa kama public toilet.ushahuri wangu ukiona kitu kanahusu chadema na Dr Slaa usifungue.kama mimi nikiona jina lako najua upupu ndio umeandikwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom