UTATA: Tido akanusha kwenda Al Jazeera

Mh! Am a bit dissapointed..I really wanted TIDO to get tht job

So hata hiyo ya Kibonde kupata sports slot is a hoax ?![/QUOTE]

Nsiande, Al Jazeera ndio wametangaza hivi karibuni kukaribisha maombi kwa watu wanaotaka kufanyia kazi kituo hicho. Inawezekana Kibonde akawa ame-apply lakini hajaajiriwa na ile ni TV ya kimataifa haiwezi kufanya ubabaishaji kama TV za kwetu Tanzania kwa kuchukua watu kinyemela bila utaratibu maalum. By the way, wajua kuwa Manji yuko mbioni kuanzisha TV yake kupitia kampuni yake ya habari ya MANJI MEDIA GROUP????
 
Back
Top Bottom