Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,515 6,489 Dec 14, 2010 #4 Kwa huyo mwenye tepu maana sina wasiwasi na nzakali yangu atavutiwa nayo tu na kujitoa kwenye picha kuwa demu halisi tuondoke zetu
Kwa huyo mwenye tepu maana sina wasiwasi na nzakali yangu atavutiwa nayo tu na kujitoa kwenye picha kuwa demu halisi tuondoke zetu
Abdulhalim Platinum Member Jul 20, 2007 17,193 3,011 Dec 14, 2010 #5 Dizaini hiyo ya choo kama funnel ile kupima maf'ta ya taa dukani kwa Mangi!
Raia Fulani JF-Expert Member Mar 12, 2009 10,876 2,741 Dec 14, 2010 #6 Mi ningesimama kwa huyo mwenye miwani anayeshangaa kitu
P PhD JF-Expert Member Jul 15, 2009 4,598 3,671 Dec 15, 2010 #7 wote ni mali thangu ninyi ni mbwembwe tu.