utarudisha abiria wangu au hurudishi

Mzee hapa tutauwana mi natafuta pesa abilia harudi bana kila mtu anatafuta ulaji bana!
 
mzee wa .mia kwa vitukio hujambo...

fikilia mkuu, mimi nimepakia abila wangu vizuri gari ishapendeza, nikatoka kidogo kwenda kuomba chenji nikakuta kashawaingiza kwenye gari lake eti gari langu bovu. lazima awarudishe. patachimbika leo. Mia
 
Si umegoma kuwarudisha,sasa tutaona mimi na wewe nani mjanja, ngoja nitegeshe msumari kwenye tairi
 
Back
Top Bottom