Utaratibu wa walimu kubadilishana vituo vya kazi

manispaa ya dodoma to Iringa town,moro town any where at dsm ni mwl.s/m uko tayari?0629042217
 
Kisheria utaratibu huu haupo ila ni utaratibu wa kiunyanyasaji uliobuniwa na watawala hususan TAMISEMI! nia yao ni kuchukuwa rushwa kwa sababu wapo baadhi huruhusiwa kuhama bila kubadilishana. Hebu nambie ww upo Ngara unataka kwenda kuhamia Kilosa, utampataje mtu wa kubadilinae kiurahisi? ni wazi kuwa ni utaratibu wa kiunyanyasaji na lazima rushwa itumike kuweza kufanikisha.
 
Anayetaka kuja kahama kakola bulyanhulu sec mi niende iringa,njombe,makambako,mufindi,mbalali, no 0755345261
 
Kuhama siyo hadi KUBADILISHANA yaani wasomi mnashindwa kuongea na maafisa wenu wakawapitishia barua zenu na mkasepa hadi manakesha humu kutafuta wa kubadilisha naye wengi wa namna hii mchakato ukikaribia kukamilika mmoja anazingua
 
Back
Top Bottom