Utaratibu wa kupitisha hoja bungeni unanikera sijui wewe

msambaru

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
245
109
Wanajf asalam, hivi huu utaratibu wa kupitisha hoja kwa kusema wanaoafiki waseme ndio na wasioafiki waseme sio. Jana mama ana semamba kawaonea waliosema sio kwa ajili ya kukataa kuahirisha kikao ili wambandue pinda na masela wake. Napendekeza kuwe na kura ya siri coz ht magamba yalikuwepo yaliyotaka kuongeza muda ila due to their incompitence wakagwaya wasijetimuliwa chamani wakawa useless.
 
Back
Top Bottom