utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 321
....komentini bila ku Quote.... Mnatupotezea muda wa ku scroll down.... Alaaaa!!
Wewe ni mwalimu au moderator?
....komentini bila ku Quote.... Mnatupotezea muda wa ku scroll down.... Alaaaa!!
Mnawaza mbali sana.
Hivi hata basic needs zimetushinda, sembuse ya uchunguzi wa kipolisi??
Kwa elimu zetu za kata sipiyu inachorwa ubaoni?
Bado tuna hatua ndefu sana.
Hii itawezekana tu pale tutakapoweza kujenga mabarabara ya juu, daraja la Kigamboni kuwa na umeme wa kutosha, kima cha chini cha mshahara cha shilingi milioni moja, na kuwa na wastaani wa kuishi wa miaka 65. Hii itakuwa mwaka 3012 yaani milenia ijayo.
Hata hivyo namba 5 hapo umedanganya, polisi wa nchi zilizoendelea hawakamati tu mtu kwa kuwa amekutwa eneo la tukio bali ni baada ya kureview evidence na kujiridhisha kuwa mtu husika anafaa kuitwa mtuhumiwa.
hapana dola haiko serious!
kila tu ajue kuwa tu akifa ndani kitu cha kwanza ni kupiga simu polisi
ukikumbuka tukio la Fabrice Muamba
napata wasiwasi tunazika wengi wakiwa hai still...
hii nchi utasema tuko miaka ya sitini bado
ajabu mno.....
Jamani si wankufa wengi hapa kwa dizaini hiyo ,mbona haya huwa hayasemwi au kwa sababu kafa Kanumb
Iwapo mtu amefia nyumbani kwake na mwili wake ukabidi kwenda kuhifadhiwa hospitalini, kwa nini haubebwi na ambulance?
Na iwapo utabebwa na kwa njia nyingine yoyote, kwa nini mwili hawaufuniki?
Na wanapofika hospitalini, kwa nini sio wahudumu wa hospitali wanaowajibika kuutoa mwili huo badala ya walioupeleka hapo?
Nini nafasi ya polisi katika uchunguzi wa kesi kama hii? Baada ya kila hatua ya awali kuchukuliwa na ndugu na majirani?
Refer kifo cha S. Kanumba.
Yaani hata sielewi wanakuwa na maana gani kufanya hivo kwani kila mtu ana haki ya kuishi hata kama ni mtuhumiwa wa mauaji kwani mahakama ndo itaweza kuamua anyongwe but in the mean time anatakiwa kutibiwa na kuokolewa maisha sasa wanapotaka pf 3 sijui wanamaanisha nini au wanajaribu kuzuia nini?jaman kwenye katiba mpya tuungane wadau kuipinga hii sheria ya mgonjwa mahututi kuanzia polisi kwanza,ni bora mtu awahishwe hospitals then polisi ndo waje wampe pf 3 akiwa anapatiwa huduma kwanza ili kuokoa maisha jaman
Swali zuri sana umeuliza na mimi pia nauliza Swali kwani Tanzania kuna (Ambulance) au kitu kinachoitwa first aid hakuna hicho kitu hapo kwetu tupo nyuma sana kimaendeleo Watu hufa kabla ya hata kufika hospitali kwa kukosa huduma ya kwanza na magari ya Wagonjwa hakuna. nchi imeoza haina viongozi wazuri Mwenyeezi Mungu isaidie nchi yetu kupata viongozi wazuri inshallah.kwani tz kuna polisi?
Naipenda chadema