Utaratibu mpya wa kutoa magari bandarini

Kaduguda

JF-Expert Member
Aug 1, 2008
724
641
Wakuu heshima mbele! Naomba mwenye utaalamu wa formula inayotumika kutoa magari bandarini tafadhali anijuvye hapa jamvini maana naambiwa kwa sasa umebadilika sio kama ule tuliouzoea zamani. Naambiwa siku hizi kuna issues za depreciation ndo ujue utatakiwa kulipia ushuru kiasi gani.

Assume nimeingiza gari ambalo thamani yake ni USD 3000.00 (CIF) Mchakato wake ukoje hapo!! Tafadhali mwenye ideas aziweke hapa!
 
Back
Top Bottom