Mujumba thanx kwa ufafanuzi kwani nilianza kustaajabu taasisi kama UDSM kufanya mambo ambayo hayaendani na hadhi yake.Kwenye hizo fani waombaji ni wengi sana so hiyo ni njia mojawapo ya kuwapunguza ili kuboresha ufanisi.dogo unapotosha umma, hio requirement sio kwa kozi zote ni baadhi tuu tena ni zile zilizoko kwenye, i) Department of Political Science and Public Administration: Offers three Master of Arts (M.A.) programmes; M.A. (Public Administration), M.A. (Political Science) and M.A. (Strategic and Peace Studies). Entrance Qualifications for M.A. Programme by Coursework and/or by thesis
(a) Holders of an honors degree from a recognized or accredited university or an equivalent from another approved University, or any institution of higher learning within and outside Tanzania, and recognized by Tanzania Commission for Universities (TCU).
(b) Graduates of UDSM must have a G.P.A. of 3.5 for male applicants, 3.3 for female. Applicants from upcoming universities must have a First Class honours degree.
(c) Applicants with a pass degree may be considered if they have Postgraduate Diploma in Political Science from a recognized institution of higher learning.
ila kozi zengine requirements ni Master of Arts in Education (M.A. Education) by Coursework and Dissertation
Regular Programme Minimum requirement: - First degree in education from a recognized University
- GPA of not less than 2.7
Duration: 18 Months for full time programme.
iv) Master of Arts in Education (M.A. Education) by Coursework and Dissertation
Evening Programme Minimum requirement: - First degree in education from a recognized University
- GPA of not less than 2.7
Duration: 24 months for evening programme.
v) Master of Arts in Applied Social Psychology (MAASP) by course work and Dissertation
Minimum requirement: - First degree in education from a recognized University
- GPA of not less than 2.7
(ii) M.A. in Mass Communication
Entrance Requirements Applicants should be in possession of first degree with minimum of 2.7 GPA from recognised Universities in any discipline.
ukienda kwenye web yao utaona requirements nyingi sana, nyingine zinataka pass tuu
Ila naona kama mtoa mada hii umepotosha uma maana mimi nipo karibu sana na directorate ya postgraduate UDSM, hakuna requirement kama hizo zimewekwa zaidi ya second class kwa kozi nyingi! umepata wapi info zisizo kweli unaweka kwenye JF bila kuwa na evidence? Jamani hili jukwaa tulipe heshima yake!
Mimi ni zao la UDSM ile ya migomo haswa.... GPA za chupi na kudisko kwa visa kwa baadhi ya watu; hii haishangazi
Ushauri tu, si lazima kusoma UDSM... na experience yangu ndogo ya kufanya kazi na watu wenye masters za UDSM, wengi wako kinadharia zaidi wakati maisha ya makazini yanataka applied knowledge
I would never take any person close to me to any postgraduate course ya UDSM kwa sasa hasa kama ni za management... tunakosa upeo fulani
na wewe ulipata degree ya chupi?
KWA WALE AMBAO HAWAKUSOMA UDSM awe na first class kutoka katika vyuo HIVYO. isipokuwa kwa wale waliosoma UDSM; wanaume wawe na GPA ISIYOPUNGUA 3.5 na wanawake wawe na GPA ya 3.3
Wana JF hii inapeleka ujumbe gani kwa vyuo vingine?
Udsm ni chuo bora tz upende usipende,udsm ni bora africa kwani ni ya kumi mwaka huu,huo ndo ukweli...nawashauri ambao awajapita pale wasafishe vyeti vyao kwa kupata masterz.
Hebu waambie hawa vilaza!!!huwa nashangaa sana UD kujiona a very unique varsity, wakati varsity kama SUA ina "pass mark 50% and above" na ina fundisha science subjects, sifa za UD nini hasa? ulimbukeni unawasumbua
We ndio boya kwelikweli mbona kazini wanagaragazwa na taasisi za sayansi kama DIR, MIST etc
Wa vyuo vya kata utawajua tu....