utaratibu huu wa JJ MUNGAI sekondari ni kwa shule zote Tanzania!!!!

TWALICIOUS

Member
May 26, 2011
42
0
ni kweli education for liberation kama ilivyo motto wao...watanzania na wanafunzi wa shule zoote za sekondary Tanzania laiti tungekua na mkuu wa shule kama MWANYIGU wa shule hii basi kiwango cha elimu kingekua kwa kasi ya ajabu mkuu huyu ni mchapakazi.mpenda maendelleo...utaratibu wake ni kama vile kukuza kiwango cha taaluma,utunzaji wa mazingira.....bigup sana MR maliano Mwanyigu pale Mafinga Iringa......................
 
Ni kweli kabisa maheadmaster wote wangekuwa kama Mwanyigu ingekuwa vizuri sana kwa sababu ya kupenda na kuijali kazi yake.pongezi kubwa anastahili Mwanyigu tutamkumbuka sana maishani kwetu...!
 
Huyo Mwanyigu inawezekana ni mwalimu mkuu hodari lakini hilo jina la hiyo shule linashabihiana na yule mbunge wa zamani wa hapo Mufindi amabaye anatuhumiwa kwa kutoa rushwa na ufisadi uliokithiri hapo Mufindi!! Hilo ndio doa kwenye nguo nyeupe ya mwalimu Mwanyigu kuhusishwa na shule ya fisadi!!
 
Hata kama lakini dhahabu itabaki kuwa dhahabu haiwezi kuwa almasi,ilikuwa zamani sana...kwa sasa mambo ni tofauti na wanafunzi wanazidi songa mbele.
 
Back
Top Bottom