INaitwaje hiyo? I am a new comer in the world of non political arena za mwana K!Mi napenda ile hadithi ya wewe ulipokwenda kule Marrietta, GA kumtembelea yule dada mwenye Hummer. Unaikumbuka hiyo?
INaitwaje hiyo? I am a new comer in the world of non political arena za mwana K!Mi napenda ile hadithi ya wewe ulipokwenda kule Marrietta, GA kumtembelea yule dada mwenye Hummer. Unaikumbuka hiyo?
sijawahi kuchapisha kitabu chochote; mara zote nimekatishwa tamaa kuwa wabongo hawapendi kusoma stori za Kiswahili na pili.. hawataki kulipia kusoma.. so yote mawili kama mtunzi yanakatisha tamaa. Naweza kuandika hata screenplay za movie na TV shows (kwa kiingereza au kiswahili) lakini tatizo ndilo hilo who pays for it?
leta srediMmenitia shime.. kama mambo yatakuwa mazuri ninavyoona siku chache zijazo nitafungua na stori yangu ya kwanza baada ya karibu miaka miwili ya writer's block!!!
leta sredi
leta storiiz
andaa majarida
you will have our support!
Mmenitia shime.. kama mambo yatakuwa mazuri ninavyoona siku chache zijazo nitafungua na stori yangu ya kwanza baada ya karibu miaka miwili ya writer's block!!!
Mhhh hiii hadithi jamani balaaaaaa.............lol
Hapo bado hujaisoma ya Chiku na Tongue Master....Lol
Kama unaweza hebu iweke hapa.