Utapeli wa kujigongesha kwenye gari bado waendelea!

mwanamapinduko

Senior Member
Jan 24, 2011
178
41
Leo nilikwenda kumtembelea jamaa yangu kimara b maduka saba. Wakati natoka huko taratibu kwenye kagari kangu, kuelekea temboni kuna mtu akaanguka kama nimemgonga na alikuwa na bandage kama mtu aliyetoka kuwekewa drip. Nikasimama na cha ajabu akaniwahi kuniambia nimpeleke hosp bila hata kuchukuea pf3, kufika karibu na hosp akaomba nimshushe tu na nimpe hela atajitibu mwenyewe. Hapo ndio nikashitukia janja yake. Kwani hata hiyo bandage aliyofunga ukiichunguza ni ya muda mrefu.
 
Back
Top Bottom