Utapeli wa chuo kikuu cha dar -es salaam {udsm}

Huyo fred jana amenitumia sms kuwa naitajika kwenye interview kibaha tar 4/10/2013. Bila kutoa vielelezo vyovyote pia amenisumbua sana mpaka nimeangalia namba yake kwenye airtel money ndio nimejua jina lake kumbe bonge la tapeli
 
Back
Top Bottom