Utapeli mradi wa upimaji wa viwanja Gezaulole

Gandalf

New Member
Aug 2, 2010
2
0
Wadau mimi ni mmiliki wa eneo lililo kwenye mradi wa upimaji viwanja ,kwa sasa manispaa imeanza kulipa fidia ambayo wengi wamelalamikia,kumemua hakuna ufafanuzi mzuri kuhusu fidia ..naomba msaada kama kuna mdau mwenye taarifa sahihi.
 
Kwani majibu ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi kule Bungeni ile tar 15/4/11 yalikuwaje?

Tafadhali tunaomba msaada wa mwenye soft copy au atuandikie toka hard copy ya hansard.
 
sasa kwa nini umeandika utapeli wakati huna information zozote? Me nilijua umeshalizwa!
 
sasa kwa nini umeandika utapeli wakati huna information zozote? Me nilijua umeshalizwa!

Sawa, mtoa mada anaweza akawa amekosea lakini kuna ukweli ndani mwake. Nilisoma mwaka jana katkati kwenye Mwananchi likielezea kesi waliyofungua watu wa Gezaulole wakipinga huo mradi na mazagazaga yake.

Naamini wapn watu humu wana-data za uhakika watatusaidia.
 
1465571844850.jpg
 
Back
Top Bottom