Utapeli mpya wa vodacom

Wakusini

JF-Expert Member
May 28, 2011
805
609
Naomba niwekwe sawa ama nielekezwe kwa kina kabla sijaingia mkenge kuhusiana na huu utapeli wa vodacom,Tukiachana na huduma ya M PESA ambayo code yake unabofya *150*00# then unapata menu yake.Ila bado cjaipatia vema hii huduma ambayo ina code *150*55#.Hii code ukibofya inakupa ''Welcome to future Banking MBanking,Please enter PIN,na Ukijibu kwa PIN namba 1 inakupa select ,Balance check,My crdt card,mobile money,Transfer to m pesa,.......na ukicheki balance kwa kuweka ile PIN namba 1 unakuta mzigo wa salio la laki nane.ukihamisha kwa mpesa haiendi,Hili ndo limenifanya nigombane na keypad kupost nikiomba tueleweshane kwa anayeelewa hili,kuna uvumi eti hizi ni pesa za mafisadi wamezificha huku kwenye lain zetu,coz hii ni kwa lain zote za vodacom,wataalam shuken mtujuze maana tusije ingia mkenge.
 
Sijui inakuaje hiyo.Ila nimejaribu kinachonishangaza ni password sio lazima uweke 1.jaribu kuweka namba yoyote inakubali tu.
 
huo ni mtaji wa 2015. Tatizo hatujui nani atajitosa na nani hana nia, so tumezimwaga kwa wote. Tutazifungua hivi karibuni.
 
Tatizo lenu nyinyi hamsikii, kila siku tunawaambia hamieni airtel hamtaki kusikia oneni sasa tayari mmeshaanza kuibiwa
 
Tatizo lenu nyinyi hamsikii, kila siku tunawaambia hamieni airtel hamtaki kusikia oneni sasa tayari mmeshaanza kuibiwa

Lakini mkuu ukijaribu hata kwa line ya tigo inakubali,sijajua airtel.Pia pin huwa lzm ziwe tarakimu nne lkn hapa ni yyt tu inakubali. Nadhani wataalam wa watakuja kutujaza vzr,na suala la airtel usijekuta nako ni yaleyale.Maana mm nimejaribu vada na tigo zote zinakubali km mleta uzi alivyotushirikisha
 
A test account for has just been created on mBanking with a starting balance of Shs.800,000,
jamani hii haipo real ni test acc itatumika kwa miaka ya baadae.
 
vodacom mpesa na crdb wameingia mkataba now unaweza tuma hela za mpesa kwenda acount ya crdb au kutoa hela crdb kwenda mpesa now wanatest mitambo acheni tamaa
 
vodacom mpesa na crdb wameingia mkataba now unaweza tuma hela za mpesa kwenda acount ya crdb au kutoa hela crdb kwenda mpesa now wanatest mitambo acheni tamaa
Hapo sawa mkuu nimekupata,mia nane kwa ACbila taarifa si mchezo! hapa naanza kuamini,,,,!
 
Wadau hii kitu si kwa voda tu...hata nikizijaribu izo codes kwenye lyne angu ya tigo inafanya ila pesa haiendi sijui shida nn
 
jibu la wapo kwenye majaribio nakubaliana nalo but mbona inakubali mitandao yote?
 
Hakuna cha majaribio apa ni mafisadi wameamua tawanya izo fedha bse kwangu ni 2nd week sasa ilo fungu lipo sasa unatest 2 weeks!
 
Back
Top Bottom