Utapeli kwa wanaotafuta kazi

Teresia Mahimbi

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
271
91
Kwa wale wanaotafuta ajira hasa graduates jihadharini na huyu tapeli anaejiita Lilian Kisanga..Alitoa tangazo last week la internship Nicaragua kweye blog moja inayoheshimika..Watu wakatuma CV zao,hapa naambatanisha email yake ya majibu..imekaaa kitapeliiiiiiii so muwe waangalifu vijana ikiwezekana kama kuna anemjua pamoja na washirika wake tumuumbue haraka.


Habari,

Ninayofuraha kukufahamisha kuwa ombi lako la kufanya kazi na Mercycorps Nicaragua(Central America) limekubaliwa,nimeambatanisha barua ya kukubaliwa ambayo utasaini panapohusika na kuirudisha kwetu.
Kwa mujibu wa sheria za immigration hapa Nicaragua,NGO inatakiwa kukuombea Visa/work permit ili uweze kuja hapa kuanza kazi,kwa sasa hakuna ubalozi wa Nicaragua hapo Tanzania.
Kama ambavyo nilikutaarifu hapo awali unatakiwa kutuma malipo kwa ajili ya kuprocess Visa/Work permit yako mapema kama ambavyo barua ya kukubaliwa kazi inavyojieleza ili kutoa muda mzuri kwa NGO kuprocess kwa wakati ambapo itachukua siku 4 za kazi kupata kibali hicho cha Visa/Work permit.
Sasa katika kurahisisha utumaji wa malipo hayo Management imeomba kutumia account ya mfanyakazi ambaye yeye ana account ambayo ni International Account ambayo benki yake pia inapatikana hapo nchini Tanzania,hii ni kwa sababu ya kurahisisha na kuondoa gharama za utumaji na ucheleweshaji wa kupata malipo kwa wakati.
Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kubadili hiyo dola $197 kuwa Tanzania shillings ambayo ni sawa na Tsh.315,200/- ,harafu utadeposit hiyo Tsh.315,200/- kwenye account ifuatayo;
Tafadhali nakuomba uscan na unitumie payslip/Deposit slip baada ya kufanya malipo kwa Sababu Management itaihitaji kwa sababu za kiofisi,

Bank Name: Stanbic Bank
Account Name: Jacob E.E
Account Number:
0140518946701
Visa Card Number: 4313321007132065


Regards
Lilian Kisanga
Project Manager
Mercycorps
Nicaragua
 
Kwa wale wanaotafuta ajira hasa graduates jihadharini na huyu tapeli anaejiita Lilian Kisanga..Alitoa tangazo last week la internship Nicaragua kweye blog moja inayoheshimika..Watu wakatuma CV zao,hapa naambatanisha email yake ya majibu..imekaaa kitapeliiiiiiii so muwe waangalifu vijana ikiwezekana kama kuna anemjua pamoja na washirika wake tumuumbue haraka.Habari,Ninayofuraha kukufahamisha kuwa ombi lako la kufanya kazi na Mercycorps Nicaragua(Central America) limekubaliwa,nimeambatanisha barua ya kukubaliwa ambayo utasaini panapohusika na kuirudisha kwetu.Kwa mujibu wa sheria za immigration hapa Nicaragua,NGO inatakiwa kukuombea Visa/work permit ili uweze kuja hapa kuanza kazi,kwa sasa hakuna ubalozi wa Nicaragua hapo Tanzania.Kama ambavyo nilikutaarifu hapo awali unatakiwa kutuma malipo kwa ajili ya kuprocess Visa/Work permit yako mapema kama ambavyo barua ya kukubaliwa kazi inavyojieleza ili kutoa muda mzuri kwa NGO kuprocess kwa wakati ambapo itachukua siku 4 za kazi kupata kibali hicho cha Visa/Work permit.Sasa katika kurahisisha utumaji wa malipo hayo Management imeomba kutumia account ya mfanyakazi ambaye yeye ana account ambayo ni International Account ambayo benki yake pia inapatikana hapo nchini Tanzania,hii ni kwa sababu ya kurahisisha na kuondoa gharama za utumaji na ucheleweshaji wa kupata malipo kwa wakati.Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kubadili hiyo dola $197 kuwa Tanzania shillings ambayo ni sawa na Tsh.315,200/- ,harafu utadeposit hiyo Tsh.315,200/- kwenye account ifuatayo;Tafadhali nakuomba uscan na unitumie payslip/Deposit slip baada ya kufanya malipo kwa Sababu Management itaihitaji kwa sababu za kiofisi,Bank Name: Stanbic BankAccount Name: Jacob E.EAccount Number: 0140518946701Visa Card Number: 4313321007132065RegardsLilian KisangaProject ManagerMercycorpsNicaragua
Inawezekana ndiyo bahati yako ndugu yangu ila naomba ufanye uchunguzi kwanza kwangu mim naona ni wizi mtupu
 
Jamani kuna haja ya kuendelea kumpa moyo kwa utapeli wa wazi kama huu?

Huyu inawezekana ni yule yule binti anayejiita Mery John aliyejifanya ni Afisa Mahusiano wa Mgodi wa Masumbwe Bukombe.
Anajaribu njia za kila aina.
 
Hkuna working permit kwa Mtanzania kufanya kazi TANZANIA kwani uraia wako ndio working permit yako. Labda kama kuana mabo menginwe tofauti na si kufanya kazi T6anzania....
 
mimi walinitumia hii.:A S-baby:

Habari,

Hongera sana,

Nimeattach barua ya kukubaliwa kufanya kazi hapa POD Volunteer,Belize(Central America),utaisaini na kuirudisha kwangu.
Pia unatakiwa kufanya malipo kwa ajili ya Visa/work permit ambayo gharama yake ni dola $260,itachukua siku 3 za kazi kupata Visa yako,tunatakiwa kuprocess Visa/work permit yako haraka ijumaa hii na tutatumia majina yako yaliyo kwenye CV hivyo,ukishafanikisha kupata passport utatakiwa kusafiri na kuja hapa haraka

Sasa katika utumaji wa malipo hayo ya Visa,Management imeamua kutumia account ya Mfanyakazi wa hapa ambaye ana International account inayo link na Stanbic bank ya huko Tanzania,na hii ni kukuepusha na gharama za utumaji na ucheleweshwaji wa sisi kupata malipo hayo kwa wakati.

Unachotakiwa kufanya ni kudeposit Malipo ya Visa/work permit ya Tanzania shilling Tsh.412,100/=ambayo ni sawa na dola $260 kwenye hii account nitakayokupa hapa chini,ukisha deposit nakuomba tafadhali unitumie Payslip/Deposit slip kwa sababu management inaihitaji kwa ajili ya documentation.
Ifuatayo ni account kwa ajili ya malipo hayo ya Visa/work permit kama nilivyokueleza;

Bank Name: Stanbic Bank
Account Name: Jacob E.E
Account Number: 0140518946701
Visa Card Number: 4313321007132065

Kama una swali usisite kuuliza,



Regards
David Chassama
Project Manager
POD Volunteer,Belize.
 
Back
Top Bottom