Utanioa?

\kwa mantiki hiyo wewe unapenda mtu akuanze na gia ya kukuhonga, inaelekea wewe unapenda kuhongwa na unaamini kuhongwa ndio kupendwa, dah we wa ajabu kweli i might gues we ni materialist girl if am not mistaken. Pole lol!
umejuaje!! aisee ww kwa kutabili ni noma!!!
 
\kwa mantiki hiyo wewe unapenda mtu akuanze na gia ya kukuhonga, inaelekea wewe unapenda kuhongwa na unaamini kuhongwa ndio kupendwa, dah we wa ajabu kweli i might gues we ni materialist girl if am not mistaken. Pole lol!
mnarahisishiwa hamtaki,aya bac mfungulie kampuni!!!! chali!!! tutaona visigino tu apo!
 
Hili swali hata mi nilishawahi kuulizwa ...
Nafikiri lengo la wadada ni kutaka kupima tu ufahamu wetu wanaume na mtazamo wetu juu ya ndoa kabla ya wao kufanya maamuzi magumu ...
 
Mara nyingi ukimtaka msichana kimahusiano ya kimapenzi huuliza UTANIOA au unataka kunichezea tu? kwa mfano msichana kama huyo ukimwambia ndiyo nitakuoa halafu ukishamaliza mambo yako ukasepa,kunamadhara gani katika future yako?

mhmhmhm makubwaaaaa!!
 
Kwa nini umdanganye mwambie laivu kuwa sina haja ya kukuoa nyege tu zimenibana kila mtu ana nyege bwana atatoa tu, mbona wapo wengi
 
Back
Top Bottom