Utanioa?

Mimi nikiwaambiaga ukweli kabisa huwa wanasepa nikitumia uwongo wa kimapenzi huwa penzi linakolea kweli Mishipa ya uelewa wa wanawake sijui imekaaje! Nitaendelea kudanganya mpaka atakaye kubali kusikia ukweli kuhusu mm maana ni mzito sana kuubeba.
 
mimi nikitangaziwa ndio nasepa. Lol.
Duh! inaelekea unatuona sisi ni waongo sana bibie, unanitisha sana, yaani mtu akija kwako direct akikuambia anataka akuoe unasepa jamani. yaani unataka aje kwa kupindisha pindisha maneno au? huwezi jua huyo mtu alikuwa anakufuatilia muda mrefu na kukuchunguza na akaona unafaa, si unajua pretendence za kwenye mahusiono wengine wanaziogopa hivyo wanaamua kumfuatilia binti kimyakimya bila yeye kujua? finaly akiridhika ndio ankuambia? usiwe unakimbia utakuja kumkosa mwana na majia ya moto.
 
Mimi nikiwaambiaga ukweli kabisa huwa wanasepa nikitumia uwongo wa kimapenzi huwa penzi linakolea kweli Mishipa ya uelewa wa wanawake sijui imekaaje! Nitaendelea kudanganya mpaka atakaye kubali kusikia ukweli kuhusu mm maana ni mzito sana kuubeba.
wana saikolojia wanasema saikolojia ya mwanamke iko very complicated, unstable and unpredictable, huwezi ukawadefine hawa watu hivyo usishangae.
 
Duh! inaelekea unatuona sisi ni waongo sana bibie, unanitisha sana, yaani mtu akija kwako direct akikuambia anataka akuoe unasepa jamani. yaani unataka aje kwa kupindisha pindisha maneno au? huwezi jua huyo mtu alikuwa anakufuatilia muda mrefu na kukuchunguza na akaona unafaa, si unajua pretendence za kwenye mahusiono wengine wanaziogopa hivyo wanaamua kumfuatilia binti kimyakimya bila yeye kujua? finaly akiridhika ndio ankuambia? usiwe unakimbia utakuja kumkosa mwana na majia ya moto.

haaa! Yaani nyie ni waongo sana.
Ushawahi kuona watu ni wapenzi lakini hawakuwahi kutongozana?
 
wao wanadhani ukitanguliza neno nitakuoa ndio atakuwa na tahamni zaidi kumbe pia neno hilo hutumika kukidhi tamaa za mwili
 
ndoa itangazwe pindi ambapo mshafahamiana vya kutosha na unaona anafaa kuwa wife.

Huu ndio utaratibu sahihi japo kinadada mara nyingi huwa mwaingia kwenye ndoa siku unaingia kwenye mahusiano jambo ambalo si sahihi na mwanaume hilo wazo anakuwa hanalo.
 
wanapendwa kutangaziwa ndoa kwanza wanakuwa hawaelewi nini umuhimu wa ndoa, kwa nini aolewe yeye na ana ulazima gani kukaa kwenye ndoa ... pili anajali hisia za muonekano kuliko halisia
 
wasichana wa siku hizi hawataki hizo story kabisa,ukitaka kumkosa msichana we anza na story zako kuwa nitakuoa halafu uone, kwanza wao siku hizi hawaulizii hilo jambo labda wa kijijini, wa mjini wanakusoma kwanza na mnasomana pia. hawataki haya mambo ooh! unajua nakupenda nataka nikuoe.issue ni kwamba wengi wao wanakuwa tayari wana makovu ya mapenzi nafsini mwao hivyo kila mwanaume kwao wanamwona kama jambazi tu hivyo wanakubali muanze mapenzi ya kimjini mjini mambo ya kuoana ni majaaliwa, they believe it comes outmaticaaly the way mnavyozidi kukaa kwenye relation.
wape wape vidonge vyao
 
mimi ukinianzia na hilo neno tu,haijalishi upo serious au haupo serious,moja kwa moja nakuchukulia wewe ni muongo,na hunioni tena
 
Kumbe wee bado eheeeeee, ngoja nianze kutafuta gear, sijui nianze kwa kufunga? ngoja kwanza, bado sijapata TemboCardMasterCard ila pia sifakubwa ni kwamba mimi si shabiki wa "siasa uchwara"
acha uongo. Mi binafsi mtu akija na gia za ndoa ananichefua, haiwezekani watu hamjafahamiana uanze kutangaza ndoa.
 
kumbe na wee bado eeeeehh, inaelekea naweza pata mke wa pili hapa
mimi ukinianzia na hilo neno tu,haijalishi upo serious au haupo serious,moja kwa moja nakuchukulia wewe ni muongo,na hunioni tena
 
+2550: mbona kilacku unalala bila hata kuniaga?
12:38 PM me: Makuuuubwa tena haya jamani, nimeanza kukuaga lini jamani mbona huo utamaduni sina?

26 minutes
1:04 PM +255: Yapi?
1:05 PM me: si hayo jamani....
1:06 PM +255: Kwan sina haki ya kukuuliza?
1:07 PM me: Haki tena jamani? mko free
1:09 PM +255: Yap? Labda haki imekustua au sitakiwi kukuuliza?
me: kwanini hivyo leo? kwema huko kweli?
1:10 PM +255: Yeah,
1:11 PM me: Sidhani
1:12 PM +255: Ni kaz 2 kwa vile imebana bt nataka sana nikutane nawe ili nipate majibu ya maswal yangu
1:13 PM me: Na mimi pia nina yangu ila nakukumbusha tena na tena....kazi hiyo, haya, naogopa
1:14 PM +255: Unaogopa nn?
1:15 PM me: Siogopi mimi, naogopa wewe...
1:16 PM +255: Sijaelewa, unaogopa nini?
1:17 PM me: Ok, tuyaache hayo ila hakikisha unaeelewa nilichokuambia, pls hakikisha unaelewa
1:19 PM +255: Sasa hapo ndo ambapo 2naposhndwa kuelewana, ni kwamba unaogopa mi kuonana na wewe au? Yan nataman sana 2onane
1:21 PM me: Ok, ila zingatia sana niliyokuwa nikikwambia/tukiongea kila mara kwenye simu, ni muhimu sana tafadhali, sitaki kumsaliti mke wangu pls

11 minutes
1:32 PM +255: Kwa sasa unafanya nn? Maana naona mpaka nimalz job ni mbal, nataka niku2mie naul km una muda, upand gar la sa 9 then utagz kesh yk na gr la sa 12 asb najua ukija kwangu 2takuwa na privacy ya kutosha na 2taongea vizuri
1:37 PM Kwa sasa unafanya nn? Maana naona mpaka nimalz job ni mbal, nataka niku2mie naul km una muda, upand gar la sa 9 then utagz kesh yk na gr la sa 12 asb najua ukija kwangu 2takuwa na privacy ya kutosha na 2taongea vizuri
1:38 PM me: Jamani ! Mazungumzo yetu kwene Cm unayakumbuka vizuri? Mimi nina mke tafadhali nakukumbusha hilo tena

7 minutes
1:46 PM +255: Sasa 2meongea meng sana kwenye cmu na cjui ni yapi unayorejea
1:48 PM me: ok, ukipata muda siku njoo tuongee
+255: Kwa hy hujaafiki na wazo nililokwambia
1:50 PM Mi ctakiwi kutoka nje ya kituo, nilikuwa nakwambia wewe km una muda ndo uje huku
1:51 PM me: ndio nimepata mahali jamani

Hii ndio tabu waipatayo akina dada, hii ni laivu haina hata chenga, si unaona Dada anavyohangaika hapo? anataka atume nauli jamaa aende.....
 
mwanaume haanzi na neno hilo ila anatakiwa kulijibu katika majumuisho
 
hapa ni chaka hasa
 
Back
Top Bottom