Utani wa wajaluo v/s wahaya

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Leo tuna msiba ktk familia ya kijaluo hapa mtaani kwetu,
sasa wakati mwili wa marehemu unafikishwa nyumbani toka mochwali,
hawa wahaya wamekuwa wakishangilia style ya kufurahia goli huku wenzao wakiangua vilio,
alipoulizwa mmoja wao akadai kuwa marehem kaenda kusomea uchungaji so wako sahihi kushangilia
 
The page u are requesting is temporally un available make sure URL is........!
Battery Empty
________________
 
Vizazi vya mtandaoni hivi bado havijakuelewa,
huo ni utani wa kikabila kati hayo makabila mawili,
na ndio huwa wanafanya hivyo na ni kawaida kwao,
so naona kama unashangaa hivi ni kawaida hiyo,
 
tatizo jaluo wanapenda kupiga mziki siku ya msiba kwa hiyo wahaya ni burdani kwao
 
tatizo jaluo wanapenda kupiga mziki siku ya msiba kwa hiyo wahaya ni burdani kwao

Kutania wanaume ni hulka. Wakati Iddi Amini alipoanza kuwaoa kule Kyaka, Nyerere alijua wanaume wa nchi hii wako Mara, ndio maana alibonyeza button, tukamtoa kwa mwendo wa mbio za kujificha
 
Kutania wanaume ni hulka. Wakati Iddi Amini alipoanza kuwaoa kule Kyaka, Nyerere alijua wanaume wa nchi hii wako Mara, ndio maana alibonyeza button, tukamtoa kwa mwendo wa mbio za kujificha

Sawa lakini alishindwa akaamua kumchukua jaluo mmoja kwa sababu ya ngozi ya jaluo kwa sababu baba yake Idd Amin alipenda sana jaluo ndo maana akaoa jaluo. Jaluo oyee
 
mabata wadogodogo wanalia kwaa! kwaaaa! Wanalia kwab kwaaa..vichwa katika maji na mikia juu juuu.huu wimbo tuliimba jkt, hii thread ya jkt iko wapi wakuu??
 
Watoto wa mjini wote hili halijui, ndivyo ambavyo hutokea, Wasuma/Wanyamwezi watani wao ni Wahehe/Wabena na Wangoni, hali ndio hua hivyo, siku 1 nilihudhuria sherehe ya harusi Shinyanga, Mhehe alikua anaoa (alikua anaoa mama wa Kichaga) Wasukuma wakamfungia zawadi 1 nzuri tu kwenye box na kuacha tundu kwa juu, alipofungua akakutana na Mbwa mtoto, haya mambo yapo sana huko mikoani. Kiasi fulani hua inatia raha, siku nyingine, Mkulya 1 alikua mwanajeshi and then akafa, maiti ilikua ikisafirishwa toka Dar Airport to Mwanza and then Tarime, Wahaya wakazuia mwili wa marehem kwa madia kwamba, nyumbani kwa ndugu yao ni mbali sana, hawajaona kama ameisha kunywa chai (yaani maiti haijanywa chai) mambo yalikwenda hivyo kwa muda hadi walipokuja wazee wa kikulya (walijua watani wana maana gani) wakajichangisha mihela pale and then zikawa zimepatikana Tsh 300,000/- nao Wahaya wakatoa pesa zao walizokuja nazo, zilikua kama Tsh 600,000/-
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom