Utani wa jadi wa makabila: Unauonaje?

Sasa kimbembe unavaa hizo yunifom za wanafunzi au askari wa kikoloni halafu umepiga komoni au chimpumu, ukipiga mieleka kwenye tope usmati wote wa kingoni chalii
ah aha ha ha ahaha haha hahh sijui unajua nguo ya kuazima..... sasa hawa ati wakiona wageni wanawapigia ngoma za asili, wana tofauti gani na bongo fleva hawa? FP na snowhite si bora muimbe tu za hao wageni?
 
Last edited by a moderator:
FP njoo niokoe huku naumbuka mwenzio!wenga,hapo@platozoom unachekeleea nilivotolewa KO.
chenjelayi mlongo wangu, pambwani hapa, ha haaaaaaaaaaa. nakuona moto2012 ayingini kwa kasi, karibu sana mlongo wetu..........................
wamuyitu kadala au kadoda?
 
Last edited by a moderator:
umeona eee!! nilienda sehemu moja huko makete ndani ndani kabisa nikakuta wasukuma lakini hawa waoga waliokimbia kwao ukitoka songea ni wa kuhesabu...... halafu FP naomba unisaidie hivi ni uoga wenu wa wanyama ama uroho ndio maana majina yenu mengi ni ya wanyama? Mapunda, Komba, Mbawala etc nahisi hata wewe waweza kuwa Fuko Pundamilia!!! (FP).....lol
ha haaaaaaaaaaa, wanyama ni ndugu zetu, wakati huo tunapita misituni toka SA tulikuwa tukikutana na mnyama fulani tunampa jina mwenzetu................ sisi utani tulianza sisi kwa sisi, nyie wooote mnajifunza kwetu, ndo maana tuna watani makabila mengi sana
 
hakuna kabial ainji hii lina watani wengi kuliko wasukuma ... sasa hebu niambie wewe nyumbani huitwa nani? nyani au ngedere au siku hizi umejipa jiana la kizungu Fearfull Puupy?
 
mimi nina jina la kimahesabu bwana, Fixed Point. una dictionary?............ utajibeba
 
chenjelayi mlongo wangu, pambwani hapa, ha haaaaaaaaaaa. nakuona moto2012 ayingini kwa kasi, karibu sana mlongo wetu..........................
wamuyitu kadala au kadoda?

Mewawa mlongo, pambwani tichenjela kimadangi madangi, kuchenjela kuhalala kunyumba, kuni kumadahi tiyiga tu! Kunymba kunoga, wakatindila kuyetu vamawu vihina chomanga, ukahamba kumtunduluni makambaku gavi kuhina ligwamba, vangi viyimba nyimbu za ulumba, basi mtima seledeeh!!!

Aah dada, kunyumba nga kunyumba, ne niluta ntondii kutama kumbwani, ngowani kwawaka, mawungu gavihee, ulahi niyuha mulediyu, ne mbwituu!!!
 
ha haaaaaaaaaaaaa, mbolimboli kadoka, vangoni va kumbwani yati uwaleka munjila, nina uhakika hapa mlongo wangu snowhite apati maneno ncheche tu. kwa kweli kunyumba ni kunyumba. unikumbwishi ngowani za kunyumba jamani, ninogela kweli................... na mdojolela. ngowani za kumbwani huku zinoga lepi, ngati wilya makitu gani kwali, aaah!
 
Last edited by a moderator:
chenjelayi mlongo wangu, pambwani hapa, ha haaaaaaaaaaa. nakuona moto2012 ayingini kwa kasi, karibu sana mlongo wetu..........................
wamuyitu kadala au kadoda?

Mtimwa wangu wijumba, mlamu waku Pureta nimuwelepi, kwali ayuvikwoki? Ngati umuwezi umujovelayi abwela mumumanyayi na nyenye ihuma kwoki!!!
 
leka nimkemelayi, Pureta Preta we, uvi koki? bwela kuni, mngwana waku akukemelela. lindila bahapa yati ibwela. au ugani nimkemelela na mlongo wako snowhite? kwali ajumbali koki?
 
Last edited by a moderator:
ha haaaaaaaaaaa, wanyama ni ndugu zetu, wakati huo tunapita misituni toka SA tulikuwa tukikutana na mnyama fulani tunampa jina mwenzetu................ sisi utani tulianza sisi kwa sisi, nyie wooote mnajifunza kwetu, ndo maana tuna watani makabila mengi sana

jova veve nene,ihhh!
 
Mewawa mlongo, pambwani tichenjela kimadangi madangi, kuchenjela kuhalala kunyumba, kuni kumadahi tiyiga tu! Kunymba kunoga, wakatindila kuyetu vamawu vihina chomanga, ukahamba kumtunduluni makambaku gavi kuhina ligwamba, vangi viyimba nyimbu za ulumba, basi mtima seledeeh!!!

Aah dada, kunyumba nga kunyumba, ne niluta ntondii kutama kumbwani, ngowani kwawaka, mawungu gavihee, ulahi niyuha mulediyu, ne mbwituu!!!

zikongini lelu!wengo!hahahahha wapi wamakonde nao wamwage chao!!!!!!!?wanyamwezi,waha,waluguru,wanyaki,wahehe je,wabena,wayao jamani ?wapogoro,wandamba?wasukuma je?
 
ha haaaaaaaaaaaaa, mbolimboli kadoka, vangoni va kumbwani yati uwaleka munjila, nina uhakika hapa mlongo wangu snowhite apati maneno ncheche tu. kwa kweli kunyumba ni kunyumba. unikumbwishi ngowani za kunyumba jamani, ninogela kweli................... na mdojolela. ngowani za kumbwani huku zinoga lepi, ngati wilya makitu gani kwali, aaah!

mimi hapa nimeachwa feri hakyanani mnazidi kumpa mapwenti@platozoom
 
zikongini lelu!wengo!hahahahha wapi wamakonde nao wamwage chao!!!!!!!?wanyamwezi,waha,waluguru,wanyaki,wahehe je,wabena,wayao jamani ?wapogoro,wandamba?wasukuma je?

waache usiwaite, sisi babu/bibi zao, wafalme wao wacha TUBONGE kwenye hili jukwaa! wanajijua wao ni dhaifu!! Hata aliyeanzisha huu uzi kala kona! Najua hao wote wana DNA zetu, si unajua tulivyohodari kwa ACTIVTY? Mkakati tangu enzi lazima kila tunapokanyaga lazima uwekeze, hata ukienda Shinyanga Kadoda asopi mbeyu!
 
Mtimwa wangu wijumba, mlamu waku Pureta nimuwelepi, kwali ayuvikwoki? Ngati umuwezi umujovelayi abwela mumumanyayi na nyenye ihuma kwoki!!!

leka nimkemelayi, Pureta Preta we, uvi koki? bwela kuni, mngwana waku akukemelela. lindila bahapa yati ibwela. au ugani nimkemelela na mlongo wako snowhite? kwali ajumbali koki?

sasa nyie.....leteni tafsiri hapa haraka kabla sijaenda google.......
 
waache usiwaite, sisi babu/bibi zao, wafalme wao wacha TUBONGE kwenye hili jukwaa! wanajijua wao ni dhaifu!! Hata aliyeanzisha huu uzi kala kona! Najua hao wote wana DNA zetu, si unajua tulivyohodari kwa ACTIVTY? Mkakati tangu enzi lazima kila tunapokanyaga lazima uwekeze, hata ukienda Shinyanga Kadoda asopi mbeyu!

Wewe bombi ullishawahi kutoswa ziwani? ohoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom