Utani wa jadi wa makabila: Unauonaje?

tutake radhi platozoom, hivi wasukuma ni wa kutufundisha sisi chochote? kwanza tutakuwaje product ya wasukuma wakati sisi ndo mabingwa wa ku-produce? wahi DNA za wanao, ukizimia huko mi simo

Thubutuu mtoto wangu tipiko chapa ya ng'ombe............ninyi mabingwa wa kuprodyusi majina mwitu (kwa hilo siwawezi)..Halafu naona Elizabeth Dominic kapiga like...............ndiye tembo nini?
 
Last edited by a moderator:
sie wengine tuko kote kote maana cocktail nyingi tu.
cocktail zipo nyingi tu lakini kila mtu anajulikana ni mnani.
kama wewe umezaliwa baba(baba mngoni, mama mnyakyusa), mama(baba mlugulu, mama mchaga) tutakujua wewe kama mngoni.
hili unalijua MadameX unatuzuga tu
 
Last edited by a moderator:
cocktail zipo nyingi tu lakini kila mtu anajulikana ni mnani.
kama wewe umezaliwa baba(baba mngoni, mama mnyakyusa), mama(baba mlugulu, mama mchaga) tutakujua wewe kama mngoni.
hili unalijua MadameX unatuzuga tu

Sizugi mtu jameni, mama changanya nyingi sio kabila moja, baba nae hivyo hiyvo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom