Utani wa jadi wa makabila: Unauonaje?

Utani bwana una raha yake na una ubaya wake bhana.

Na kumbuka ilikuwa ni mwaka 2008 mjomba wangu alifiwa na mke wake ,kwakweli aliumia sana, alilia kama mtoto hasa kila alipokuwa anaona watu wanakuja kumpa pole. Kwakweli alimpenda sana mkewe,kulia kwake kulisababisha tufikiri anaweza kufanya kitu kibaya hivyo tukawa tuna kaa nae karibu.

Siku iliyofata ndio mwili ulikuwa tunausafirisha kwenda kagera, kabla ya kuaga aliingia mtani wetu kama kawaida alisaini kwenye kitabu cha msiba, baada ya kumaliza akaanza kuuliza yuko wapi mume wa marehemu kama mtu nimgeni angedhani hamjui mme wa marehemu, alipo ambiwa yuko sehemu fulani ambayo tulikuwa tumemtengea apate upepo, alipofika alipo mjomba wangu alimkubatia huku akicheka na akamwambia sikutegemea kama B utalia kwa sababu yamke, Akamwambia mimi nina wake watatu si uniambie nikupe mmoja!

Kwakweli niliishiwa nguvu na kuanza kucheka, kwa kweli kwa mara ya kwanza tangu msiba utokee nili muone mjomba wangu akicheka.

Hapo ndio niliamini utani mara nyingine si mzuri.
 
umekimbilia huku enh!well mi napenda sana utani wa makabila lakini kwa hii jamii ya sasa tuliyonayo hili halina nafasi sana maana tumechanganyana sana makabila na pengine hata watani hatujuani,yani kabila gani ni mtani wa kabila gani!

Unawajua watani zako acha longolongo ..........vidole kama likolo!
 
platozoom si bure kuna kitu anavizia mmu....mara oh utani mara nini ...si aseme tu.....lakini bora iwe salama kitendea kazi kwa kwenda mbele.
mi bana mtani wangu Nyani Ngabu...yaani mpaka mkewe nimechukua jumla yeye anachekacheka tu ka babujinga.

Cheating rules ni kama JF Rules..name calling not allowed
 
Utani bwana una raha yake na una ubaya wake bhana.

Na kumbuka ilikuwa ni mwaka 2008 mjomba wangu alifiwa na mke wake ,kwakweli aliumia sana, alilia kama mtoto hasa kila alipokuwa anaona watu wanakuja kumpa pole. Kwakweli alimpenda sana mkewe,kulia kwake kulisababisha tufikiri anaweza kufanya kitu kibaya hivyo tukawa tuna kaa nae karibu.

Siku iliyofata ndio mwili ulikuwa tunausafirisha kwenda kagera, kabla ya kuaga aliingia mtani wetu kama kawaida alisaini kwenye kitabu cha msiba, baada ya kumaliza akaanza kuuliza yuko wapi mume wa marehemu kama mtu nimgeni angedhani hamjui mme wa marehemu, alipo ambiwa yuko sehemu fulani ambayo tulikuwa tumemtengea apate upepo, alipofika alipo mjomba wangu alimkubatia huku akicheka na akamwambia sikutegemea kama B utalia kwa sababu yamke, Akamwambia mimi nina wake watatu si uniambie nikupe mmoja!

Kwakweli niliishiwa nguvu na kuanza kucheka, kwa kweli kwa mara ya kwanza tangu msiba utokee nili muone mjomba wangu akicheka.

Hapo ndio niliamini utani mara nyingine si mzuri.

Bila shaka alikuwa Mjaluo!
 
Nimesema kuna historical dimention katika utani, because mara nyingi utaskia alie anzisha kabila hili alikua mtumwa-mchumba-kaka-dada wa kabila lile, then wakatengana au wakaamua kuanzisha kabila lao kwa sababu hili na hili. Then pia katika utani unagundua kumbe kabila hili lina madhehebu haya na yale. Sasa huu utani wa kuanzisha kati ya watu wawili ni utani wa makabila tena au ndio gia za kutaka kunijua?

Kwa mfano Wagogo na Wangoni ni product ya Wasukuma na Wanyamwezi..............Nimekumbuka kuna wakati Msukuma mmoja alitembelea Songea miaka hiyo akiwa na baiskeli na nyakati hizo hakuna mngoni yeyote aliyewahi kuiona......Sasa kimbembe Wangoni walipoiona kila mtu akatafuta pa kujificha. Fixed Point na snowhite wanajua hii zahma
 
Last edited by a moderator:
umekimbilia huku enh!well mi napenda sana utani wa makabila lakini kwa hii jamii ya sasa tuliyonayo hili halina nafasi sana maana tumechanganyana sana makabila na pengine hata watani hatujuani,yani kabila gani ni mtani wa kabila gani!
mwenzangu, siku hizi ni balaa na hii michanganyiko, unaweza jikuta unamtania mtu kumbe na mama mkwe kahusika................. moto wake sasa
 
Utani bwana una raha yake na una ubaya wake bhana.

Na kumbuka ilikuwa ni mwaka 2008 mjomba wangu alifiwa na mke wake ,kwakweli aliumia sana, alilia kama mtoto hasa kila alipokuwa anaona watu wanakuja kumpa pole. Kwakweli alimpenda sana mkewe,kulia kwake kulisababisha tufikiri anaweza kufanya kitu kibaya hivyo tukawa tuna kaa nae karibu.

Siku iliyofata ndio mwili ulikuwa tunausafirisha kwenda kagera, kabla ya kuaga aliingia mtani wetu kama kawaida alisaini kwenye kitabu cha msiba, baada ya kumaliza akaanza kuuliza yuko wapi mume wa marehemu kama mtu nimgeni angedhani hamjui mme wa marehemu, alipo ambiwa yuko sehemu fulani ambayo tulikuwa tumemtengea apate upepo, alipofika alipo mjomba wangu alimkubatia huku akicheka na akamwambia sikutegemea kama B utalia kwa sababu yamke, Akamwambia mimi nina wake watatu si uniambie nikupe mmoja!

Kwakweli niliishiwa nguvu na kuanza kucheka, kwa kweli kwa mara ya kwanza tangu msiba utokee nili muone mjomba wangu akicheka.

Hapo ndio niliamini utani mara nyingine si mzuri.
sasa hapo kwenye red umenichanganya, ubaya wake nini sasa? si alifanikiwa kumchekesha? au mlitaka aendelee kulia tu bila kupata faraja kidogo?
 
Kwa mfano Wagogo na Wangoni ni product ya Wasukuma na Wanyamwezi..............Nimekumbuka kuna wakati Msukuma mmoja alitembelea Songea miaka hiyo akiwa na baiskeli na nyakati hizo hakuna mngoni yeyote aliyewahi kuiona......Sasa kimbembe Wangoni walipoiona kila mtu akatafuta pa kujificha. Fixed Point na snowhite wanajua hii zahma
tutake radhi platozoom, hivi wasukuma ni wa kutufundisha sisi chochote? kwanza tutakuwaje product ya wasukuma wakati sisi ndo mabingwa wa ku-produce? wahi DNA za wanao, ukizimia huko mi simo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom