Utani mwingine bwana!

ngararumo

Senior Member
Oct 17, 2011
173
43
kuna jamaa mmoja bhana alikua anataniana na mwenzake yani huku kwetu tunaita mchongoano....jamaa wa kwanza akamwambia mwezake we ni mweusi mpaka ukisamama kwenye kona mtu akija atasema pana shortcut akatize,mwenzake akamjibu wewe je hujioni au?akamwambia yani bora mimi wewe ni mweusi mpaka ukisimama kwenye banda la mkaa mtu akija kununua mkaa atasema naomba unifungie huo mkaa mkubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom