Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,198
Hawa watu ni washenzi kupita kiwango cha kawaida cha ushenzi duniani.
Nimevumilia weee lakini nimeshindwa. Sasa inabidi niseme nitoe dukuduku langu. Sisi miafrika tuko mijitu ya ajabu sana. Kamwe hatuwezi kuendelea. Kuliangalia lichakachuaji in charge (lewis makame) likisoma matokeo ya uchaguzi kwenye kikaratasi ni sawa na kuangalia rangi iliyopakwa ukutani kukauka i.e.boooring. Hivi kweli hatuwezi kuwekeza kwenye mfumo na utaratibu ulio bora na wenye ufanisi ktk kutangaza matokeo ya uchaguzi? Yaani hata hilo litushinde? Marekani jana walikuwa na congressional elections lakini tayari kitu na boksi. Brasil tayari wana raisi mteule. Sisi bado tunasoma matokeo kwenye vijikaratasi. Smdh
watamaliza lini kusoma hayo matokeo kwenye hivyo vijikaratasi
ha ha ha ha!halafu eti kuna watu wanadiriki kusema 'bongo nyu yoki'. Sina hakika wanatumia vigezo gani. Labda vi fast food joints na vi burger joints lol. Kuna kipindi nilionaga subway hapa bongo. Sijui bado ipo ile
NN.... kwakweli kinachofanyika sasa ni very ancient!!! Huwezi amini kiongozi wetu ndio yule kwenye kampeni alikua anarefer marekani, wazugnu, wazungu wazungu wakati anaongoza timu zinazofanya mambo kikwereNimevumilia weee lakini nimeshindwa. Sasa inabidi niseme nitoe dukuduku langu. Sisi miafrika tuko mijitu ya ajabu sana. Kamwe hatuwezi kuendelea. Kuliangalia lichakachuaji in charge (lewis makame) likisoma matokeo ya uchaguzi kwenye kikaratasi ni sawa na kuangalia rangi iliyopakwa ukutani kukauka i.e.boooring. Hivi kweli hatuwezi kuwekeza kwenye mfumo na utaratibu ulio bora na wenye ufanisi ktk kutangaza matokeo ya uchaguzi? Yaani hata hilo litushinde? Marekani jana walikuwa na congressional elections lakini tayari kitu na boksi. Brasil tayari wana raisi mteule. Sisi bado tunasoma matokeo kwenye vijikaratasi. Smdh
i totally co-sign with you,,i have had it up to here with ccm