Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

zubeda pole sana na kushauri umuone daktari wa magonjwa ya kina mama! wewe ndio mwenye hili tatizo lakn unasingizia wengine wakati wewe ni wa kike! au una jinsia mbili?
 
huo utando unakuwa wapi???
wakati wa kufanya na unaongezeka kadri msuguano unavyoongezeka unaweza ukahisi umeweka
kuna tanbond inatoka kwenye uchi kam a ni mgeni hiyo wala msishangae ni hali ya mtu na wanashauriwa wawe wasafi sana maana ni rahisi kuambukizwa magonjwa ya kuambukiza
 
Uzushi mtupu, namuunga mkono Dumelang kwamba wanawake wanatofautiana, so hii ishu haina ukweli ndani yake.
Mm huwa nikiona hv najua ni uchafu tu.
 
Napenda kuuliza kama ni kweli ili nawengine mkalifatilie hili.

Kwa maelezo hayo sasa nyie wenye wake wapenzi mlifatilie hili.Unapokaa mbali na mkeo au Rafiki yako wa kike kama atakuwa hatoki nje ya Mahusiano Lazima hao UTANDO UWAKUTE kwa wingi sana.yani hata mkipotezana week/mwezi.Lakini usipo ona hayo ujue Alikuwa anatoka nje ya mahusiano yenu.

Mytake@Na wewe fatilia mimi nimelifatilia na nimejiridhisha kuwa ni kweli kwa Upande wangu.

sasa unaweza ukute ni kweli mwanamke hamjakutana mwezi mzima na ni kweli hajapata mwanaume sema anatumia dildos(rampant rabbit:happy:) a.k.a sex toys na anajiridhisha so mtu ka huyo ukija kukutana nae utamkuta wala halikua hana ugwadu!!
 
Sina hakika na hayo huyasemayo kwa utaaramu zaidi onana na daktari pengine ni kutokuweza kujisafisha vizuri ama anatatizo na hapo hapo inawezekana ni kutokuingiliwa kimwili kwa muda mrefu but sina hakika na hili.
 
Mh!mimi nadhani ni uchafu tu!kwani akijisafisha vizuri hawezi kuwa na uchafu hata kidogo!
 
Kwani anaejiita njiwa yeye ndege.
Kwani anaejiita kongosho yeye ni kongosho
Kwan we ni default kweli.
Hakuna anaenipangia kwa hilo...changia mada then Sepa.
Wote humu mna ID za uongo na Picha za Uongo.we kwangu Ndo unaona pa kuuliza na mapovu juu.
tumia jina la kiume basi kaka
 
Aaaaa hiyo ni nature ya huyo dada tu na sio ugonjwa kama wengine wanavyosema na wala sio ishara ya uaminifi wowote kabisa
 
Back
Top Bottom