Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

mimi nilidhani wewe ni she kumbe ni he!? bty usidanganyike bro unaibiwa! huwo utando unatokana na wale wanaopendelea sana k zao kuzifukizia mara kwa mara mafukizo kama vile udi,ubani na mafukizo mengine kama hayo. wakati wa mafukizo, ule moshi ukifukiziwa kwa wingi kuna mnyauko fulani hivi hutokea nao pia unasaidia k kuifanya iwe mnato wakati wa seksi ukiachilia mbali na manukato,pia hata kwa wale wenye bonde la mto msimbazi mafukizo yanasaidia kukausha kutokana na lile joto la moshi wake.
Kaka kubali tu ukweli, km huwa huoni kwako ucjickie vibaya
 
kwa hiyo usipopigwa mswaki meno yakawa manene kwa mabaki ya chakula ni dalili ya shibe?

Wonders shall never end.

Kaka umeeleweka. Watu hawawezi kukubali kwa kuwa umewagusa. Naunga mkono hoja mia kwa mia
 
kama ni reseach basi haijatimia kwani umemutumia Demu wako tu kama kigezo, i want to prove you wrong!kwanza kabisa namna ya vagina wetting hutofautiana kutoka mwanamke mmoja mpaka mwingine. kwa mfano kuna mwanamke hata mchezeane vipi ana wet kidogo sana! mwingine anawet sana mpaka analowanisha ile underwear yake kama atakuwa kaivaa bado, hata ukimshika tu pale juu unaweza guess hilo, lakini pia kuna anaye wet sana lakini baada tu ya mambo anakauka na yawezekana kwa awamu ya pili ya shughuli ikalazimika kupata extra lubricant, wengine ni mwanzo mwisho, na namna nyingine nyingi tu.sasa hii ya kwako pia ni namna moja wapo kuna ute mzito na mwepesi, mmoja wapo ni kama uliousema unakuja na ukoko ukoko mwingine unakuja tu kama kamasi au sperm za kiume,hivyo huyo demu wako yupo kwenye hili group la ukoko ukoko! lazima atazitoa tu kila mnapokutana mara chache huweza kutoa laini kama kamasi lakini si kuwa hajafanya tendo hilo. uchunguzi wako si guaranteed 100% angalia asije kujua mawazo yako atakuibia kinona....SIUNGI MKONO HOJA
Sasa akafanye uchunguzi kwa demu wa mtu mwingine? Ataamini vp km demu hy ana wiki hajaSex?Hajaongelea wetting, kasema akikutana nae mara ya kwanza after a week ndo anakuwa hivy, baada ya hapo huo utoko unakuwa haupo tena, hy inatokea tu baada ya kukaa zaidi ya wiki hajakutana nae. Fanya uchunguzi kwa hy wa kwako, muache wiki mbili af uje uone, nafikiri unaweza kuunga mkono hoja, km utakuwa muungwana
 
jamani nahisi ni uchafu tena mkubwa sana umejaribu kuunusa unanunikiaje? please jaribu halafu uniambie ikibidi nenda kwa doctor ujue zaidi please
 
Nshkuru Babu na bibi pia kulelewa kijijini. kufunzwa mila na desturi na dini pia maswala kama hayatupi shida kabisaa. hiliswala nikweli kama chumba hakitumiki huwa hivyo na sio uchafu wala haina mahusiano na wepesi au uzito wa manii. manii na hiyo dalili ni tofauti kabisa
 
nafikiri anaongelea yale majimaji kama mchuzi wa maji ya mchele ule mzito kidogo ambao huwa unatoka mwanamke akiwa hot yaani wakati mnaduuu akiwa amepandisha mashetani kisawasawa, ule sio kwamba ni mnyumbuliko unaonyumbuka sanaa kama kamasi lakini ni kama majimaji ya mchele mazito ambayo yanalainisha k na ambayo yanatoka tu pale mwanamke anapokuwa amefurahia tendo...ila kwamba kunakuwa na utando, sijawahi kuona tangu nianze hii fani.....utando ukoje, ikama buibui? kama udenda wa asubuhi ukiamka, mbona haeleweki kabisa aisee.
 
Back
Top Bottom