Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Napenda kuuliza kama ni kweli ili nawengine mkalifatilie hili.

utando huo hufanana kama maziwa mgando bt hutofautiana kati ya mwanamke mmoja na mwingine.Utando huo UMENISAIDIA SANA kugundua pale napokaa mda mrefu na girl wangu hatuja SEX siku tunapokutana huwa UTANDO huo hutoka mwingi sana na hiyo hudhihirisha chumba kilikuwa hakitumiwi kilifungwa.

Na ikitokea ndani ya Muda huo Then tunapokutana na UTANDO huo kutoonekana ni Dhahiri Chumba kilikuwa kinatumiwa.Mjomba kipara jicho Moja akizama na atakapotoka hutoka Msafi sana kama alienda kuogeshwa.

Kwa maelezo hayo sasa nyie wenye wake wapenzi mlifatilie hili.Unapokaa mbali na mkeo au Rafiki yako wa kike kama atakuwa hatoki nje ya Mahusiano Lazima hao UTANDO UWAKUTE kwa wingi sana.yani hata mkipotezana week/mwezi.Lakini usipo ona hayo ujue Alikuwa anatoka nje ya mahusiano yenu.

Mytake@Na wewe fatilia mimi nimelifatilia na nimejiridhisha kuwa ni kweli kwa Upande wangu.

UPDATES.
Nawashangaa wanaopoteza muda kuchangia matusi kwenye uzi huu.kama limekugusa sepa tu...Kama una Lolote la kitaalamu zaidi eleza nielewe ila siyo kutukana.
kama huna la kuchangia si lazima uandike huwezi kufa usipoandika.
Sijaleta Uzi huu kutukana Mtu hapa.
 
unaweza kupigwa kanyaboya vilevile,wanawake ni wajanja walishwa sahani moja kumbe ni mume mwenzio,chzea maarifa ya kina mama wewe
 
Jina na avatar vinaendana lakini vinapingana na madai yako kuwa wewe ni mwanaume....otherwise una matatizo...
1. Kwanini utumie jina la kike?
2. Kwanini uweke avatar ya Kike?

Ukinipa majibu ya kuridhisha nitarejea hapa kuchangia hoja yako.
 
kama ni reseach basi haijatimia kwani umemutumia Demu wako tu kama kigezo, i want to prove you wrong!
kwanza kabisa namna ya vagina wetting hutofautiana kutoka mwanamke mmoja mpaka mwingine. kwa mfano kuna mwanamke hata mchezeane vipi ana wet kidogo sana! mwingine anawet sana mpaka analowanisha ile underwear yake kama atakuwa kaivaa bado, hata ukimshika tu pale juu unaweza guess hilo, lakini pia kuna anaye wet sana lakini baada tu ya mambo anakauka na yawezekana kwa awamu ya pili ya shughuli ikalazimika kupata extra lubricant, wengine ni mwanzo mwisho, na namna nyingine nyingi tu.

sasa hii ya kwako pia ni namna moja wapo kuna ute mzito na mwepesi, mmoja wapo ni kama uliousema unakuja na ukoko ukoko mwingine unakuja tu kama kamasi au sperm za kiume,hivyo huyo demu wako yupo kwenye hili group la ukoko ukoko! lazima atazitoa tu kila mnapokutana mara chache huweza kutoa laini kama kamasi lakini si kuwa hajafanya tendo hilo.

uchunguzi wako si guaranteed 100% angalia asije kujua mawazo yako atakuibia kinona....SIUNGI MKONO HOJA
 
Siyo uchafu huo,hutokea pale msichana anapokaa muda mrfu bila kusex,ila kama ana sex mara kwa mara huwa hauonekani.

Usitumie ugeni wako kwenye fani kutushawishi wakongwe ambao tunakaribia kuwa na wajukuu. Kafundishe chekechea wa mapenzi nakushauri umwambie huyo dada awe anaoga kwani ana matatizo ya fungus. Na kama unafanya mapenzi ya wizi hujaoa nakushauri utafute mke uoe ili uji prove mwenyewe wrong.
 
Back
Top Bottom