klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,139
kuna kondom za vidole ziko jikoni, tuweni na subra zitatoka baada ya pasaka.Kuna wengine wana vidole kama kwato za ng'ombe si itakuwa balaa
kuna kondom za vidole ziko jikoni, tuweni na subra zitatoka baada ya pasaka.Kuna wengine wana vidole kama kwato za ng'ombe si itakuwa balaa
Amen!!Alleluyah!
Na huku tena kazi ipo leo imekuwaje tena Mary wewe na Shossiukiwa na bf anayepara miwa kama Mohamed Shossi wala haina usumbufu unamweleza kirahisi anakubali
Nimekwambia kuna wengine wana vidole kama kwato zitawatoshakuna kondom za vidole ziko jikoni, tuweni na subra zitatoka baada ya pasaka.
hehehe ankal unampiga dongo nani hapa?Nimekwambia kuna wengine wana vidole kama kwato zitawatosha
hehehe huko si ndio magazeti ya udaku yameweka kambi ili kupata stori za ajabu ajabu.hahahhaha:lol::lol::lol:...klorokwini nitake radhi..kwani salon za sinza zina nini tena?
Huwezi kuukwepa moto.......kiutu uzima nitumie neno sex imatosha sana
kukujuza sweetdada sex before and after marriage of any directive is the same
action...je, una maana gani kusema ya shetani na je akikuoa hutasex naye
plz naomba tuache kuhalalisha dhambi kwa kisingizio cha kuacha ya shetani
Na tazama Mungu katika uumbaji wake alisema na kila kitu alichokiumba kilikuwa
kizuri je, unaweza kutujuza ubaya wa shetani ulitoka wapi? kifupi nyoka alikuwa kiumbe........................................................na hasa ni kiumbe na tena
mwerevu ndiyo mantiki ya kumdanganya hawa na kuasi sheria ya Mungu..je, unaweza
kutujuza njia zipi utakazoweza kusema na nyoka ikiwa yeye ni mwerevu na dalili
za upendo wa shetani unazo na hujatujuza kuwa mwanzoni alipokupata na mkasex alitumia njia zipi kama si hizo za nyoka mwerevu?
falsafa ni maisha ....mimi napita tu na wala usinihukumu kwani nami ni mhukumu.
Duh ina maana kurudisha bikira feki :love::love:
Kwanza mualike kanisani, halafu chapa maombi kisawasawa, baada ya ibada mueleze, :A S clock: :A S clock:Una mpenzi wako wa kiume umekaa nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu na wakati wote huo mmekuwa mkifanya mapenzi. Imekuja kutokea wewe umeamua kubadili mfumo wa maisha kwa maana ya kwamba umeamua kumrudia Mungu na kuacha ya shetani ila bado unampenda mpenzi wako..na mmeahidiana kuoana.
Je utamwambiaje kuwa wewe hutaki tena ku'do' mpaka pale mtakapooana? atakuelewa kweli?
Nawasalimu wote wanajamvi na nasubiri michango yenu.