Utamuuliza member yupi na swali lipi iwapo....?

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,723
9,189
chit chat oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Watu tunajifunza na kuvutiwa na mengi kutoka kwa members wa jf. inawezekana kuna wawili watatu ungetamani kuwauliza (ma)swali fulani la binafsi ila kwa namna moja au nyingine unashindwa. thread hii ni maalum kwa hilo. kwa mfano ukipewa nafasi ya kumuuliza member yoyote wa jf, ungemchagua member(s) wapi na ungewauliza maswali yapi?.
NB: Haimaanishi huyo member ni lazma ajibu hilo swali ila akiweza anaweza kujibu.
Ni vizuri kufahamu watu wanapenda kujua nini kuhusu wewe( hata kama hutowapa nafasi.
nitarudi baadae kuwauliza watu flani flani maswali.
karibuni mjisikie mpo chit chat, agizeni na vinywaji ila bili mtalipa wenyewe.
 
Poa, nakusubiri hapa! Ahsante kwa uzi huu, tena ninayo kweli lol...
Nishtulie barman hapo basi
 
Nauliza Hus... Umeolewa, una mtoto hata km hauishi na baba yake poa tu, una kazi au biashara ooppss nitarudi
 
nina maswali sana....yanahitaji mpangilio.....
nitarudi......
 
Back
Top Bottom