Utamu wa penzi la mume wa mtu.

Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa blog hii kupitia kwa mama chanja. Sijawahi kuwa mwanachama hapa. Kuna tabia inanikera ambayo nilimuomba aikemee lakini akakataa kata kata kwa kuogopa kutengwa. Tabia hii ya wake za watu ama waume za watu ambao waliwahi kuandika wamo kwenye ndoa. Hawa wameanzisha tabia ya kujionyesha wamo kwenye mapenzi motomoto na kuitana majina ya kimapenzi na wapenzi wao bila hata kuonyesha woga wa kuwemo kwenye ndoa. Pia baadhi ya marafiki zao huwapongeza hadharani kwa kuwemo kwenye mapenzi motomoto. Sijui kama uongozi wa blog hii unakubaliana na tabia hii ya kuifanya iwe kama danguro kwa waliomo kwenye ndoa kuonyesha mapenzi moto moto hadharani. Kama uongozi wa blog hii unaona athari ya tabia hii chafu ya wake za watu na waume za watu kujianika hadharani na mapenzi ya nje ya ndoa, basi uongozi uzuie tabia hii haraka sana kabla haijawa tatizo kubwa kupita kiasi.
Hivi unaamini una akili kuliko sisi wote humu,kwa taarifa yako Jf tunarekebisha sana hizo ndoa huko nje inawezekana na mkeo nae haachi kuingia humu kwani kuna vitu anapata humu na nakufanyia wewe mwenyewe na ndoa yenu inasimama,hebu tutake radhi usitulinganishe na hao unaoita wana blog.
 
sio mimi eliza wangu mimi vitu used huwa sigusi kamwe.kwanza waume wa watu wana dhiki na matatizo balaa mara oooh mama mkwe mgonjwa,watoto shule ,shemeji ada.mdogo wangu mgonjwa
mikopo kila mahali
aku babu

Ndo maana hata ile corolla 90 umeagiza mpya bana!
Hata hotelini ukiingia unaagiza sahani mpya!
Chooni ukiingia unaagiza choo kipya!
Ukienda buchani unataka wakuchinie mbuzi! Kondoo! ng'ombe na kuku wapya!
Kwa taarifa tu uliyenaye used tangu akiwa mtoto!
Fanya uende umasaini ukabook kwa mama mja mzito pale na akizaliwa chukua fasta maana naye atakayezaliwa hatachuku mda atakuwa used pia!
Used kila kona! mpaka serekali yako used pia!
 
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa blog hii kupitia kwa mama chanja. Sijawahi kuwa mwanachama hapa. Kuna tabia inanikera ambayo nilimuomba aikemee lakini akakataa kata kata kwa kuogopa kutengwa. Tabia hii ya wake za watu ama waume za watu ambao waliwahi kuandika wamo kwenye ndoa. Hawa wameanzisha tabia ya kujionyesha wamo kwenye mapenzi motomoto na kuitana majina ya kimapenzi na wapenzi wao bila hata kuonyesha woga wa kuwemo kwenye ndoa. Pia baadhi ya marafiki zao huwapongeza hadharani kwa kuwemo kwenye mapenzi motomoto. Sijui kama uongozi wa blog hii unakubaliana na tabia hii ya kuifanya iwe kama danguro kwa waliomo kwenye ndoa kuonyesha mapenzi moto moto hadharani. Kama uongozi wa blog hii unaona athari ya tabia hii chafu ya wake za watu na waume za watu kujianika hadharani na mapenzi ya nje ya ndoa, basi uongozi uzuie tabia hii haraka sana kabla haijawa tatizo kubwa kupita kiasi.

Mamsap wako anajua kuwa unajiita Sheraton kwani?
 
Jompyain anamng'ang'ania sababu kahaba ni shimo refu,atimes ukitumbukia shimoni unaweza ukanasa mpaka uje unasuliwe.wanaume wengi hawajui kuwa kiuno kimebeba mambo mengi sana,wanadhani ni sifa ila wanajimaliza na kumaliza vizazi vijavyo.

Halafu ukizini na mtu ni mkataba tayari kawa mkeo(kulingana na neno),hivyo ana haki ya kumg'ang'ania.

Kutokuwa na kiasi ni dhambi na pia ni sababu inayopelekea ang'ang'aniwe,mana tayari ana mke hakuwa na sababu ya kwenda kutafuta kimada
 
Mume wa mtu ni mtamu kama wanaume mwanamume mwingine yeyote, lakini UCHUNGU wake utaujua siku mwenye mali akikukalia kooni,, utajuuuuuta kumfahamu! we endelea tu usione anapendeza anatunzwa huyooo khee
 
"NA WALE WANAOKULA VYA WENZAO NA VYAO SIKUMOJA VITALIWA" hiyo nime copy kutoka ktk kitabu cha ......... msari wa.........
 
sio mimi eliza wangu mimi vitu used huwa sigusi kamwe.kwanza waume wa watu wana dhiki na matatizo balaa mara oooh mama mkwe mgonjwa,watoto shule ,shemeji ada.mdogo wangu mgonjwa
mikopo kila mahali
aku babu

Umeyajuaje hayo baby!! ...teh..teh

Umeona eeh. Ukiwa mnene kupitiliza sarakasi utaziweza wapi? Lol.

Hata mwembamba nae akipiga tizi kidogo basi mwili unakuwa flexible sio kama gogo. Sio unalalamika...mara mguu unauma ...mara shingo...mpaka inakuwa kero kwa mpenzio.

kwanza mwanamke akiwa mnene sana anakosa ability ya kufanya mapenzi mwili unahitajika kuufanya mazoezi ili usinenepe sana
 
1. Mimi nafikiri cha msingi; watu wawe wabunifu katika mahusiano na waache kuishi kwa mazoea (kila kitu humu duniani kinabadilika???
2. Mume wa mtu akiwa kwenye nyumba ndogo..kwanza anaenda kule akiwa amejipanga kama ni cash anayo hivyo hapati stress hivyo perfomance yake huwa juu to fauti na akiwa nyumbani mara adaiwe hiki mara kile...peformance inakuwa chini...
naamini mapenzi ya kiwepo na kukawa na ubunifu...hakuna atakayekuwa na haja ya mtu wa nje
 
If men behave after marriage the way they do before it,
half the divorces won't take place..
On the other hand,
If women behave before marriage the way they do after it,
half the marriages won't take place ;)
 
Ifmen behave after marriage the way they do before it,
half the divorces won't take place..
On the other hand,
If women behave before marriage the way they do after it,
half the marriages won't take place
;)

unakunywa beer gani Nambe?nataka kukutoa out bana,dah!yani uuuuuuuuwi,hebu weka kwa herufi kubwa huo usemi na ubandike kwenye gari/ofisi au nyumba yako!pleeeeese.
 
Good Eliza!That z the fact,I can promise you heaven just to be between your legs and the after ignore you like sheet when am through!Utaendelea kuning'ang'ania kwa kudhani utaipata hiyo pepo niliyokuahidi!BUT some time it is true that married man men have experience in r/ships,caring and hw to talk to girls and this kills them!
 
Back
Top Bottom